Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba kusajili watano

KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr, amesema amependekeza kwa uongozi kusajili wachezaji watano wapya kwenye dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake ili kiweze kuhimili ushindani wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Simba kusajili wachezaji kuziba pengo

Katika kile kinachoonekana ni kuweka mikakati ili kuchukua ubingwa msimu ujao, wekundu wa Msimbazi.

 

11 years ago

GPL

Wambura amzuia Hans Pope kusajili Simba

Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura. Na Wilbert Molandi
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope, amesema kwa sasa hataki kujihusisha na masuala ya usajili, badala yake ataelekeza nguvu zake katika biashara zake binafsi.
Mwenyekiti huyo ameitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati klabu mbalimbali zikiendelea na usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na sababu kubwa ni...

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yasaka wapya watano

Huku Simba ikianza mazungumzo na klabu ya FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ili kunasa saini ya mshambuliaji wa timu hiyo, Daniel Lyanga, imebainika kuwa inasaka wapya watano.

 

10 years ago

GPL

Mastaa watano Yanga ruksa Simba

Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Wilbert Molandi
WAPO sokoni! Hivi ndivyo utakavyoweza kutamka baada ya wachezaji watano wa Klabu ya Yanga kubakiza miezi sita au chini ya hapo kwenye mikataba yao na timu hiyo. Kila timu hivi sasa inaangalia nafasi ipi yenye upungufu inayohitaji kuboresha kwa kusajili wachezaji wenye uwezo kwenye usajili wa dirisha dogo linalofunguliwa Novemba 15 na kufungwa Desemba 15. Wachezaji hao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam kusajili wapya

Klabu ya Azam ina mipango ya kusajili wachezaji kutoka nchi za Zambia, Ivory Coast na Rwanda.

 

11 years ago

Mwananchi

Julio awaza kusajili kimataifa

Huku ikisisitiza kutokubaliana na uamuzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wa kuipa pointi tatu Stand United, klabu ya Mwadui FC imesema itafanya usajili wa nguvu wa wachezaji kutoka ndani na nje ya nchi kama uliofanywa na Azam FC.

 

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kusajili mashirika ya kijamii

Mashirika au vyama vya kijamii yanasimamiwa na Sheria ya Vyama vya Kijamii (The Societies Act). Usajili wa mashirika haya hufanyika katika Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia ofisi ya Msajili wa Vyama.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam ‘zazuiwa’ kusajili

Dar es Salaam. Timu za Yanga na Azam ni miongoni mwa timu tano zilizoondolewa katika mchakato wa usajili wa dirisha dogo huku Simba, JKT Ruvu na African Sports zikitakiwa kutorudia makosa kipindi hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Barcelona yapigwa ‘stop’ kusajili

Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) limeizuia klabu ya soka ya Barcelona kusajili wachezaji wapya kwa miezi 12.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani