Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yasaka wapya watano

Huku Simba ikianza mazungumzo na klabu ya FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ili kunasa saini ya mshambuliaji wa timu hiyo, Daniel Lyanga, imebainika kuwa inasaka wapya watano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

JK atema wengine watano, wapya ni 10

Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri ambayo yamewatupa nje mawaziri watano, kuwaingiza 10 wapya, kuwapandisha manaibu wanne kuwa mawaziri kamili na kuwahamisha wengine wanane kutoka wizara zao kwenda nyingine.

 

11 years ago

Mwananchi

Walimu wapya 32 waripoti, watano wajawazito

Walimu32 katiya 52 wa shule za msingi waliopangiwa wilayani Urambo, tayari wameripoti huku 20 wakipangiwa vituo vya kazi.

 

9 years ago

Mwananchi

USAJILI: Simba yasaka tiketi ya CAF

Baada ya kusota kwa zaidi ya miaka mitatu bila ya kushiriki mashindano ya kimataifa, Simba inaelekea kumaliza tatizo hilo baada ya kufanya usajili wa vikosi viwili bora vya kusaka kucheza mashindano hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yasaka nne bora mgongoni mwa Polisi Moro

Simba leo inashuka kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kukabiliana na wenyeji Polisi Morogoro kutafuta ushindi ambao kwa mara ya kwanza utawawezesha kuingia kwenye nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi pia kujaribu kuondoa jinamizi la sare linalowaandama msimu huu.

 

9 years ago

Michuzi

JK ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE NA MANAIBU KATIBU WAKUU WATANO WAPYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa  Ijumaa, Oktoba 23, 2015, amewateua Makatibu Wakuu wanne wapya wa wizara mbali mbali. Aidha, Rais Kikwete amewateua Naibu Makatibu Wakuu wapya watano, amewateua Makatibu Tawala wa Mikoa wawili na pia amewahamisha Naibu Makatibu Wakuu wawili. Kwa mujibu wa uteuzi huo, Rais Kikwete amemteua Ndugu Hab Mkwizu kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma; Profesa Elisante Ole Gabriel kuwa Katibu...

 

9 years ago

Habarileo

Simba kusajili watano

KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr, amesema amependekeza kwa uongozi kusajili wachezaji watano wapya kwenye dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake ili kiweze kuhimili ushindani wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

10 years ago

GPL

Mastaa watano Yanga ruksa Simba

Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Wilbert Molandi
WAPO sokoni! Hivi ndivyo utakavyoweza kutamka baada ya wachezaji watano wa Klabu ya Yanga kubakiza miezi sita au chini ya hapo kwenye mikataba yao na timu hiyo. Kila timu hivi sasa inaangalia nafasi ipi yenye upungufu inayohitaji kuboresha kwa kusajili wachezaji wenye uwezo kwenye usajili wa dirisha dogo linalofunguliwa Novemba 15 na kufungwa Desemba 15. Wachezaji hao...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba wafalme wapya

Kipa Ivo Mapunda ameibuka shujaa baada ya kupangua penalti na kuiongoza Simba kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar jana kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Simba yajipanga kuwatambulisha wapya

WACHEZAJI wapya wa Simba kutoka Burundi, Emery Nimubona ‘Petty’ na Laudit Mavugo wanatarajia kuwasili nchini wiki moja kabla ya Bonanza la Simba (Simba Day) linalotarajia kufanyika Agosti 8, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Nyota hao wa kikosi cha timu ya taifa Burundi ‘Inthamba Murugamba’, wamesajiliwa na Simba kwa ajili msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Rais wa Simba, Evans Aveva, alisema kuwa wachezaji hao wameshindwa kuwasili nchini mapema kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani