JK ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE NA MANAIBU KATIBU WAKUU WATANO WAPYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa Ijumaa, Oktoba 23, 2015, amewateua Makatibu Wakuu wanne wapya wa wizara mbali mbali. Aidha, Rais Kikwete amewateua Naibu Makatibu Wakuu wapya watano, amewateua Makatibu Tawala wa Mikoa wawili na pia amewahamisha Naibu Makatibu Wakuu wawili. Kwa mujibu wa uteuzi huo, Rais Kikwete amemteua Ndugu Hab Mkwizu kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma; Profesa Elisante Ole Gabriel kuwa Katibu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-SInOcL6AKSI/U99C2B_G0ZI/AAAAAAAAVdc/O43EAk8WhEQ/s72-c/Copy+of+Picture1+-+Copy+-+Copy+-+Copy.png)
RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, AHAMISHA SITA, WATATU WA ZAMANI AWAWEKA KIPORO, PIA ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE WAPYA WA WIZARA NA KUHAMISHA MMOJA.
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2156398/lowRes/670006/-/oe4wxmz/-/kikwete.jpg)
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
![](http://3.bp.blogspot.com/-SInOcL6AKSI/U99C2B_G0ZI/AAAAAAAAVdc/O43EAk8WhEQ/s1600/Copy+of+Picture1+-+Copy+-+Copy+-+Copy.png)
PRESIDENT’S OFFICE,STATE HOUSE,1 BARACK OBAMA ROAD,11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1. Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi – Ombeni Sefue
2. Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo
3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian Ndumbaro
4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)
Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu –...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-aEGBszvWfgk/VFqC8Mm9NHI/AAAAAAAArmc/Z7_QVP0NEL8/s1600/JK%2B3.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, MAKATIBU WAKUU WANNE
9 years ago
Michuzi30 Dec
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-n-rIIL3MrJ8/VoQUnkFLd9I/AAAAAAAIPcs/RqLME5atAsg/s72-c/5aa3c565-fa36-40d8-814f-d724ca5285d3.jpg)
NRWS ALERT: RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ATEUA MAKATIBU WAKUU, MANAIBU MAKATIBU WAKUU NA KAIMU NAIBU KAMISHNA TRA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII
![](http://2.bp.blogspot.com/-n-rIIL3MrJ8/VoQUnkFLd9I/AAAAAAAIPcs/RqLME5atAsg/s640/5aa3c565-fa36-40d8-814f-d724ca5285d3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-dRJDYAbSj3Q/VoQUnohdZdI/AAAAAAAIPcw/qTZogrLDFvE/s640/3f2db09b-3664-47b9-a1f6-28552e5e5984.jpg)
9 years ago
CCM Blog04 Jan
10 years ago
Vijimambo06 Nov
Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja.
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/56/COA_Tanganyika_1.jpg/118px-COA_Tanganyika_1.jpg)
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/sIQbbmJ6guU/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
Rais Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu leo Ikulu Jijini Dar
![IMG_0311](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/01/IMG_0311.jpg)
![IMG_0322](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/01/IMG_0322.jpg)