Rais Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu leo Ikulu Jijini Dar
![IMG_0311](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/01/IMG_0311.jpg)
![IMG_0322](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/01/IMG_0322.jpg)
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-B7QMLzSOBtE/VoZIl8cobfI/AAAAAAAIPuA/hYWv2JlW16M/s72-c/MMG_4988.jpg)
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU WAKUU WAKE LEO IKULU JIJINI DAR.
![](http://2.bp.blogspot.com/-B7QMLzSOBtE/VoZIl8cobfI/AAAAAAAIPuA/hYWv2JlW16M/s640/MMG_4988.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-wmBWR0NbJKU/VoZIkRGu4PI/AAAAAAAIPt4/Nv-cD0n2iAk/s640/MMG_4972.jpg)
9 years ago
Michuzi30 Dec
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-n-rIIL3MrJ8/VoQUnkFLd9I/AAAAAAAIPcs/RqLME5atAsg/s72-c/5aa3c565-fa36-40d8-814f-d724ca5285d3.jpg)
NRWS ALERT: RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ATEUA MAKATIBU WAKUU, MANAIBU MAKATIBU WAKUU NA KAIMU NAIBU KAMISHNA TRA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII
![](http://2.bp.blogspot.com/-n-rIIL3MrJ8/VoQUnkFLd9I/AAAAAAAIPcs/RqLME5atAsg/s640/5aa3c565-fa36-40d8-814f-d724ca5285d3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-dRJDYAbSj3Q/VoQUnohdZdI/AAAAAAAIPcw/qTZogrLDFvE/s640/3f2db09b-3664-47b9-a1f6-28552e5e5984.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/sIQbbmJ6guU/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-U9MHjjlEWcY/VFtu1D7NXzI/AAAAAAAGvzA/pPKzgZeOo6I/s1600/unnamed%2B%2839%29.jpg)
RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI,WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
CCM BlogBALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA RASMI SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1. Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi – Ombeni Sefue
2. Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo
3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian Ndumbaro
4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)
Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu –...
9 years ago
Dewji Blog24 Oct
JK awaapisha Makatibu Wakuu leo Ikulu jijini Dar
Dkt.Maria Mashingo akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi mapema leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Prof.Elisante Gabriel akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Jakaya Kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, leo Ikulu jijini Dar es Salaam,awali Prof.Gabriel alikuwa Naibu Mkuu wa Wizara hiyo.
Rais wa...
9 years ago
StarTV02 Jan
Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu katibu wakuu wa wizara mbalimbali wa Serikali ya awamu ya tano, ikiwa ni mwendelezo wa kukamilisha uteuzi wa watendaji.
Hatua hiyo imekuja kufuatia Rais Magufuli kufanya uteuzi wa Makatibu wakuu 29 na Manaibu katibu wakuu 21 na jumla yao kuwa 50, Desemba 29 huku akimbakiza katika nafasi yake Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Januari mosi ya mwaka 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...