Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam kusajili wapya

Klabu ya Azam ina mipango ya kusajili wachezaji kutoka nchi za Zambia, Ivory Coast na Rwanda.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Ngassa yametimia Sauzi, Yanga kusajili 11 wapya

>Wakati Mrisho Ngassa akisaini mkataba wa miaka  minne wa kuichezea Free State Stars ya Afrika Kusini, Yanga  imesema itasajili wachezaji 11 wapya akiwamo mshambuliaji wa FC Platinum ya Zimbabwe, Donald Ngoma.

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA MISS TANZANIA YAANZA KUSAJILI MAWAKALA WAPYA

Juma Pinto Mwenyekiti Miss TanzaniaKamati ya Miss Tanzania inapenda kuwatangazia wadau wote wanaotaka kuandaa Mashindano ya urembo ya Miss Tanzania kwa mwaka 2016 kutuma maombi yao ya uwakala kuanzia sasa hadi tarehe 30 Novemba 2015 ndio mwisho wa kupokea maombi hayo.
 Mashindano yatakayo fanyika ni ya mikoa tu, hakutakuwa na mashindano katika ngazi ya kitongoji, wilaya wala Kanda. Sifa za kuwa Wakala wa Miss Tanzania ni pamoja na 1)      Uwe na Kampuni iliyosajiliwa na Mamlaka husika ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam ‘zazuiwa’ kusajili

Dar es Salaam. Timu za Yanga na Azam ni miongoni mwa timu tano zilizoondolewa katika mchakato wa usajili wa dirisha dogo huku Simba, JKT Ruvu na African Sports zikitakiwa kutorudia makosa kipindi hicho.

 

11 years ago

Azam FC

Azam FC ndio mabingwa wapya wa Tanzania Bara

Azam FC ndio mabingwa wapya wa Tanzania Bara

 

10 years ago

Mwananchi

Azam TV yabadili habari, yaajiri watangazaji wapya

Kituo cha Televisheni cha Azam kimefanya mabadiliko katika utangazaji wa taarifa za habari, huku kikimuajiri Jane Shirima kuwa mkurugenzi wa televisheni.

 

11 years ago

Michuzi

mabingwa wapya wa ligi kuu ya bara Azam FC watawazwa rasmi

 Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Azam FC, John Bocco jioni hii baada ya kuifunga bao 1-0 JKT Ruvu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Mabingwa wakisherehekea na taji lao, sherehe za ubingwa zimeendelea Azma Complex hadi usiku wa manane. 

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27,WAPYA WAKIWEMO SHABANI KISU,PAUL MAKONDA,FREDRICK MWAKALEBELA


*Atengua uteuzi wa Ma-DC 12, awabadilisha vituo 64, awabakiza 42 kwenye vituo vyao vya zamani.
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI leo mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwepo kwa nafasi wazi 27 ambazo zilitokana...

 

9 years ago

Habarileo

Simba kusajili watano

KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr, amesema amependekeza kwa uongozi kusajili wachezaji watano wapya kwenye dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake ili kiweze kuhimili ushindani wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vilabu ruksa kusajili 7 wa kigeni

vilabu kuruhusiwa kusajili wachezaji 7 wa kigeni kuanzia msimu ujao ujao wa ligi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani