Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam FC ndio mabingwa wapya wa Tanzania Bara

Azam FC ndio mabingwa wapya wa Tanzania Bara

Azam FC

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

mabingwa wapya wa ligi kuu ya bara Azam FC watawazwa rasmi

 Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Azam FC, John Bocco jioni hii baada ya kuifunga bao 1-0 JKT Ruvu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Mabingwa wakisherehekea na taji lao, sherehe za ubingwa zimeendelea Azma Complex hadi usiku wa manane. 

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YABAMIZWA BAO 2 - 1 KUTOKA KWA AZAM NA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA STARS UNITED BARA NDIO MABINGWA WA KOMBE LA TAMASHA 2015 LA AFRIKA MASHARIKI YAIFUNGA RWANDA 5-1 NA KUIFUNGA ZANZIBAR 4-0 MECHI YA FAINALI

Wachezaji wa timu ya Tanzania Stars United Bara  wakifurahia kikombe cha utamaduni walichoshinda leo katika mashindao ya Tamasha 2015 yaliyoshirikisha timu 4, Kenya, Rwanda, Zanzibar na Tanzania Stars United Bara. Maratibu wa mashindano hayo Kaka DC (kushoto akiongea na akiwaweka sawa marefa toka Malawi.Manahodha wa timu ya Tanzania Stars United Bara na Rwanda wakiwa katika picha ya pamoja na marefa katika mechi ya kwanza ambayo Tanzania Stars United Bara waliibamiza Rwanda mabao 5-1Kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga mabingwa wapya 2014/2015 Tanzania

Timu ya Yanga imetwaa ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa mwaka 2014/2015 kabla ya kumalizika ligi hiyo

 

10 years ago

Michuzi

YANGA MABINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1.
Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Sepp Blatter...

 

11 years ago

BBCSwahili

Azam bingwa Tanzania Bara

Kilabu ya Azam FC imetwaa Ubingwa Tanzania bara baada ya kuilaza Mbeya City bao 2-1 .

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam kutetea ubingwa Tanzania bara

Timu ya Azam ina imani ya kutetea ubingwa wa Tanzania Barakwa kuwakaribisha wagonga nyundo kutoka jijini Mbeya, Mbeya City.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea mabingwa wapya Capital One

Chelsea wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Capital One kwa kuinyukaTottenham 2-0 katika uwanja wa Wembley jijini London

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani