Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam kutetea ubingwa Tanzania bara

Timu ya Azam ina imani ya kutetea ubingwa wa Tanzania Barakwa kuwakaribisha wagonga nyundo kutoka jijini Mbeya, Mbeya City.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bravo Azam FC kutwaa ubingwa Ligi Kuu Bara

TIMU ya Azam FC inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar es Salaam, Said Salim Bakhresa, jana ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara ya kwanza tangu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Azam bingwa Tanzania Bara

Kilabu ya Azam FC imetwaa Ubingwa Tanzania bara baada ya kuilaza Mbeya City bao 2-1 .

 

11 years ago

BBCSwahili

ManU yaingiwa wasiwasi kutetea ubingwa

Mabingwa wa ligi kuu ya England Manchester United imeingiwa wasiwasi kuhusu uwezekano wa kutetea taji hilo mwaka huu

 

11 years ago

Azam FC

Azam FC ndio mabingwa wapya wa Tanzania Bara

Azam FC ndio mabingwa wapya wa Tanzania Bara

 

11 years ago

GPL

Ubingwa Bara majibu kesho

Kikosi cha timu ya Mbeya City. Na Mwandishi Wetu
LIGI Kuu Tanzania Bara, leo Jumamosi na kesho Jumapili inatarajiwa kuendelea kwenye viwanja mbalimbali nchini huku baadhi ya timu zikiwa katika harakati za kusaka ubingwa na nyingine zikipigania kutoshuka daraja.…

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YABAMIZWA BAO 2 - 1 KUTOKA KWA AZAM NA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yachanja mbuga ubingwa Bara

Yanga imezidi kuchanja mbuga kuelekea katika ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara kwa kuwafunga Mbeya City 3-1.

 

11 years ago

Mwananchi

Ubingwa Bara haujaandikwa jina la timu

Ukifuatilia kelele za mashabiki unaweza kupasuka ngoma za masikio. Wapo wanaofurahi Azam FC kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu na wengine hawataki hata kusikia habari za wanalambalamba hao.

 

11 years ago

Mwananchi

Makocha Bara waahidi ubingwa Kombe la Mapinduzi

>Ubingwa lazima! ni kauli mbiu ya wachezaji wa Tanzania Bara waliyokwenda nayo visiwani Zanzibar tayari kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi  inayofunguliwa asubuhi hii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani