Yanga yachanja mbuga ubingwa Bara
Yanga imezidi kuchanja mbuga kuelekea katika ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara kwa kuwafunga Mbeya City 3-1.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Yanga yachanja mbuga mapinduzi Cup
Yanga ilifanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya Mapinduzi
11 years ago
Mwananchi30 May
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Kilimanjaro stars yachanja mbuga Cecafa.
Michuanao ya Cecafa Chalenji Cup Imeendelea tena hapo kwa michezo miwili katika hatua ya makundi.
10 years ago
GPLYANGA SC WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU BARA
Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014 - 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam jana. Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akimkabidhi cheti cha salamu za pongezi za ubingwa kutoka Fifa, Mwenyekiti wa timu hiyo… ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04au35NS4kr3-n4gPeWZ-86QuQ9FpDJaUBUvQOvDLZInuFKMRDjeytK9zx3EY02Hu6bQyfsZM*vbgaxvwzBpsfoJz/ubingwa.jpg?width=650)
Ubingwa Bara majibu kesho
Kikosi cha timu ya Mbeya City. Na Mwandishi Wetu
LIGI Kuu Tanzania Bara, leo Jumamosi na kesho Jumapili inatarajiwa kuendelea kwenye viwanja mbalimbali nchini huku baadhi ya timu zikiwa katika harakati za kusaka ubingwa na nyingine zikipigania kutoshuka daraja.…
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Ubingwa Bara haujaandikwa jina la timu
Ukifuatilia kelele za mashabiki unaweza kupasuka ngoma za masikio. Wapo wanaofurahi Azam FC kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu na wengine hawataki hata kusikia habari za wanalambalamba hao.
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Azam kutetea ubingwa Tanzania bara
Timu ya Azam ina imani ya kutetea ubingwa wa Tanzania Barakwa kuwakaribisha wagonga nyundo kutoka jijini Mbeya, Mbeya City.
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Makocha Bara waahidi ubingwa Kombe la Mapinduzi
>Ubingwa lazima! ni kauli mbiu ya wachezaji wa Tanzania Bara waliyokwenda nayo visiwani Zanzibar tayari kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofunguliwa asubuhi hii.
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Bravo Azam FC kutwaa ubingwa Ligi Kuu Bara
TIMU ya Azam FC inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar es Salaam, Said Salim Bakhresa, jana ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara ya kwanza tangu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania