YANGA SC WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU BARA
Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014 - 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam jana. Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akimkabidhi cheti cha salamu za pongezi za ubingwa kutoka Fifa, Mwenyekiti wa timu hiyo… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Bravo Azam FC kutwaa ubingwa Ligi Kuu Bara
TIMU ya Azam FC inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar es Salaam, Said Salim Bakhresa, jana ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara ya kwanza tangu...
10 years ago
Mwananchi08 Apr
LIGI KUU BARA: Yanga, Azam mshikemshike
10 years ago
MichuziYANGA YAJICHIMBIA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA
Beki wa Mtibwa Sugar, Shaban Nditi akimdhibiti beki wa Yanga, Mbuyu Twite. Kocha wa Yanga, Hans Pluijm akitoa maelekezo kwa wacherzaji wakei.
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akichuana na kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka...
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
Ligi kuu Tanzania Bara ni Yanga&Coastal
10 years ago
Mwananchi29 Sep
LIGI KUU BARA: Yanga yaanza kugawa dozi
10 years ago
Mwananchi20 Feb
LIGI KUU BARA: Yanga yang’ara, Azam yashikwa
10 years ago
MichuziYANGA MABINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2014 - 2015
Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1.
Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Sepp Blatter...
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Yanga, Simba zagawa wachezaji kwa klabu 11 za Ligi Kuu Bara
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Yanga wasusa Sh300 mil za udhamini wa Azam wa Ligi Kuu Bara