YANGA YAJICHIMBIA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA
Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto) akichuana na beki wa Mtibwa Sugar, David Luhende wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.
Beki wa Mtibwa Sugar, Shaban Nditi akimdhibiti beki wa Yanga, Mbuyu Twite.
Kocha wa Yanga, Hans Pluijm akitoa maelekezo kwa wacherzaji wakei.
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akichuana na kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziYANGA YAJICHIMBIA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM YA SOKA TANZANIA BARA
10 years ago
BBCSwahili03 Feb
Ligi kuu Tanzania Bara ni Yanga&Coastal
10 years ago
Michuzi
YANGA MABINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2014 - 2015

Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1.

Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Sepp Blatter...
10 years ago
Michuzi
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
Vijimambo
YANGA YABAMIZWA BAO 2 - 1 KUTOKA KWA AZAM NA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.

10 years ago
Mwananchi29 Jun
LIGI KUU BARA : Bajeti za kibabe usajili wa Tanzania Bara
10 years ago
Mwananchi08 Apr
LIGI KUU BARA: Yanga, Azam mshikemshike
11 years ago
Mwananchi29 Sep
LIGI KUU BARA: Yanga yaanza kugawa dozi
10 years ago
GPLYANGA SC WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU BARA