Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubingwa Bara haujaandikwa jina la timu

Ukifuatilia kelele za mashabiki unaweza kupasuka ngoma za masikio. Wapo wanaofurahi Azam FC kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu na wengine hawataki hata kusikia habari za wanalambalamba hao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Ubingwa Bara majibu kesho

Kikosi cha timu ya Mbeya City. Na Mwandishi Wetu
LIGI Kuu Tanzania Bara, leo Jumamosi na kesho Jumapili inatarajiwa kuendelea kwenye viwanja mbalimbali nchini huku baadhi ya timu zikiwa katika harakati za kusaka ubingwa na nyingine zikipigania kutoshuka daraja.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yachanja mbuga ubingwa Bara

Yanga imezidi kuchanja mbuga kuelekea katika ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara kwa kuwafunga Mbeya City 3-1.

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam kutetea ubingwa Tanzania bara

Timu ya Azam ina imani ya kutetea ubingwa wa Tanzania Barakwa kuwakaribisha wagonga nyundo kutoka jijini Mbeya, Mbeya City.

 

11 years ago

Mwananchi

Makocha Bara waahidi ubingwa Kombe la Mapinduzi

>Ubingwa lazima! ni kauli mbiu ya wachezaji wa Tanzania Bara waliyokwenda nayo visiwani Zanzibar tayari kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi  inayofunguliwa asubuhi hii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bravo Azam FC kutwaa ubingwa Ligi Kuu Bara

TIMU ya Azam FC inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar es Salaam, Said Salim Bakhresa, jana ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara ya kwanza tangu...

 

10 years ago

GPL

YANGA SC WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU BARA

Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014 - 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam jana. Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akimkabidhi cheti cha salamu za pongezi za ubingwa kutoka Fifa, Mwenyekiti wa timu hiyo… ...

 

9 years ago

Mwananchi

UPANGAJI TIMU: Kerr anavyosaka ubingwa Simba

Jinamizi la Simba kutonyakua ubingwa kwa miaka minne, huenda likamalizika msimu huu kutokana na mabadiliko yaliyofanywa na kocha Dyrlan Kerr ndani ya timu hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Quebec Yatwaa Ubingwa wa Mbagala Cup

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John wakikabidhi zawadi ya mbuzi kwa washindi.  Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John wakikabidhi zawadi ya mbuzi kwa washindi timu ya QuebecMgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa akikabidhi zawadi ya jezi na mpira kwa washindi. Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa akikabidhi zawadi ya jezi na mpira kwa washindi. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

11 years ago

Dewji Blog

Timu ya Que Bac Yatwaa Ubingwa wa Mbagala Cup, Yazawadiwa..!

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John wakikabidhi zawadi ya mbuzi kwa washindi.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John wakikabidhi zawadi ya mbuzi kwa washindi.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa akikabidhi zawadi ya jezi na mpira kwa washindi.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa akikabidhi zawadi ya jezi na mpira kwa washindi.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John na wageni wa meza kuu wakifuraia jambo.

Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani