UPANGAJI TIMU: Kerr anavyosaka ubingwa Simba
Jinamizi la Simba kutonyakua ubingwa kwa miaka minne, huenda likamalizika msimu huu kutokana na mabadiliko yaliyofanywa na kocha Dyrlan Kerr ndani ya timu hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Jul
MALENGO: Kerr aota ubingwa Simba
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3XoHDWc4q4Q/XmZAgyra22I/AAAAAAALiQE/JytjH8gDpvc4ycFivZiVxyDDvYXQE9McQCLcBGAsYHQ/s72-c/127-1270644_simba-sc-simba-sports-club-logo.png)
TIMU YA VIJANA YA SIMBA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 0 DHIDI YA TIMU YA YANGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-3XoHDWc4q4Q/XmZAgyra22I/AAAAAAALiQE/JytjH8gDpvc4ycFivZiVxyDDvYXQE9McQCLcBGAsYHQ/s400/127-1270644_simba-sc-simba-sports-club-logo.png)
TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 wa Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Yanga katika mchezo wa utangulizi uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo wa timu hizo mbili ambao ulikuwa wa utangulizi kabla ya mechi ya timu ya Simba na Yanga wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtangane ulianza saa nane mchana ambapo vijana hao kwa kila timu walionesha umahiri wao wa kusakata kabumbu licha ya umri walionao. Timu ya...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Ubingwa Bara haujaandikwa jina la timu
11 years ago
Michuzi11 Aug
Timu ya Quebec Yatwaa Ubingwa wa Mbagala Cup
![Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa pamoja na Mlezi wa Mashindano hayo, Emmanuel John wakikabidhi zawadi ya mbuzi kwa washindi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0399.jpg)
![Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia na Mawasiliano Mamlaka ya Bandari (TPA) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Temeke (MNEC), Phares Magesa akikabidhi zawadi ya jezi na mpira kwa washindi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0396.jpg)
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Kerr amrithi Goran Simba
9 years ago
Habarileo10 Oct
Kerr ajipa matumaini Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema ana imani ya kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo jijini Mbeya. Akizungumza Dar es Salaam, Kerry alisema uwezekano wa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Sokoine upo, kwani kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo.
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Kerr afichua siri ya Simba
10 years ago
Habarileo02 Aug
Kerr akerwa na washambuliaji Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dlyan Kerr amesikitishwa na washambuliaji wake ambao walikosa nafasi nyingi za wazi katika mchezo wao wa juzi wa kirafiki dhidi ya Polisi, ambapo Simba ilishinda mabao 2-0.
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wachezaji Simba wamtibua Kerr
KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.