Vilabu ruksa kusajili 7 wa kigeni
vilabu kuruhusiwa kusajili wachezaji 7 wa kigeni kuanzia msimu ujao ujao wa ligi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Klabu ruksa kusajili wageni saba
Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) limekubaliana na ombi la klabu za Ligi Kuu la kusajili wachezaji saba wa kigeni badala ya watano wa sasa.
11 years ago
Mwananchi04 May
Ruksa nyota watano wa kigeni
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeamua msimu ujao klabu zinazoshiriki ligi hiyo kusajili wachezaji watano wa kigeni badala ya wachezaji watatu.
10 years ago
BBCSwahili18 May
UEFA:Matumizi ya vilabu kuangaziwa
Shirikisho la soka barani Ulaya linajiandaa kuondoa sheria ya mwaka 2011 itakayozuia vilabu kufanya matumizi ya ziada.
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
Adebayor aendelea kutokomeza vilabu
Emmanuel Adebayor aliifungia Tottenham bao na kuimarisha matumaini yao ya kucheza ligi ya klabu bingwa barani Ulaya
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Kanisa na Vilabu vyakomeshwa DRC
Serikali ya mkoa wa Kinshasa imechukua hatua ya kupiga marufuku kelele za muziki, kutoka kwa watu wanaokesha usiku kucha kanisani, na pia wale wanaokesha kwenye vilabu vya burudani.
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
Azam kusajili wapya
Klabu ya Azam ina mipango ya kusajili wachezaji kutoka nchi za Zambia, Ivory Coast na Rwanda.
9 years ago
Habarileo04 Nov
Simba kusajili watano
KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr, amesema amependekeza kwa uongozi kusajili wachezaji watano wapya kwenye dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake ili kiweze kuhimili ushindani wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-oWqbcsh3Om0/VlQ9CkRlF7I/AAAAAAAIIKE/ZmjVcbfMbSo/s72-c/caflicence.png)
CAF YAENDESHA SEMINA YA LESEINI ZA VILABU
![](http://2.bp.blogspot.com/-oWqbcsh3Om0/VlQ9CkRlF7I/AAAAAAAIIKE/ZmjVcbfMbSo/s320/caflicence.png)
Akiongea na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa semina hiyo, Yahya amesema imekua jambo jema kwa CAF kutupatia nafasi ya mafunzo ya leseni za vilabu hapa nyumbani, kwani viongozi wa vilabu wote wanapata nafasi ya kushiriki semina hii ya siku mbili kutoka kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9b9xdIU05rY/Vm8e8sIjH4I/AAAAAAAIMbI/4pR19PKpEnI/s72-c/agm.png)
TFF YAVITAKA VILABU KUHESHIMU TARATIBU
![](http://2.bp.blogspot.com/-9b9xdIU05rY/Vm8e8sIjH4I/AAAAAAAIMbI/4pR19PKpEnI/s400/agm.png)
TFF inachukua fursa hii kuwakumbusha viongozi wote wa vilabu kuhusu kalenda ya mwaka ya usajili ambayo ina vipindi viwili,
(i) Dirisha Kubwa la Usajili (Juni 15 – Agosti 20)
(ii) Dirisha Dogo la Usajili (Novemba 15 –...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania