TFF YAVITAKA VILABU KUHESHIMU TARATIBU
![](http://2.bp.blogspot.com/-9b9xdIU05rY/Vm8e8sIjH4I/AAAAAAAIMbI/4pR19PKpEnI/s72-c/agm.png)
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limevitaka vilabu vyote nchini vya Ligi Kuu (Vodacom), Ligi Daraja la Kwanza (StarTimes), na Ligi Daraja la Pili (SDL) kuheshimu utaratibu uliowekwa wa usajili na utekelezaji wake, kwani TFF haitapendelea klabu yoyote katika suala hilo.
TFF inachukua fursa hii kuwakumbusha viongozi wote wa vilabu kuhusu kalenda ya mwaka ya usajili ambayo ina vipindi viwili,
(i) Dirisha Kubwa la Usajili (Juni 15 – Agosti 20)
(ii) Dirisha Dogo la Usajili (Novemba 15 –...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Dec
NEEC yavitaka vikundi sekta isiyo rasmi kujisajili
Na Mwandishi Wetu, Kibaha
BARAZA la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), limevitaka vikundi vya kijamii vilivyo katika mifumo isiyo rasmi kujisajili katika mamlaka za Serikali za Mitaa ili viweze kutambuliwa na kupata fursa mbalimbali.
Hayo yalisemwa na Katibu Mtendaji wa NEEC, Beng’i Issa, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na vikundi vinavyotakiwa kuanza kujisajili kwa ajili ya kutambuliwa na kunufaika na fursa zinazolenga kutolewa na Serikali na taasisi...
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Madereva watakiwa kuheshimu sheria
MADEREVA wametakiwa kuheshimu sheria na kanuni za usalama barabarani hususani katika suala la matumizi ya alama zinazoakisi mwanga pindi magari yao yanapoharibika au kupatwa na dharura. Akizungumza jijini Dar es...
9 years ago
StarTV04 Nov
Wananchi waombwa kuheshimu sheria
Watanzania wameombwa kuitunza amani na utulivu vilivyopo nchini ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha amani.
Maombi hayo yamekuja mara baada ya kuibuka taarifa za kuwepo kikundi cha watu wanaotishia kufanya maandamano bila ya kibali kwa lengo la kupinga kuapishwa kwa Rais mteule wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli.
Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Bin Yunusi Ally Mnyasi amesema ni muhimu wananchi wakaheshimu vyombo vya dola na mamlaka iliyowekwa kisheria ili kuondoa uvunjifu...
10 years ago
Habarileo25 Jun
Membe awataka wenzake kuheshimu matokeo
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewataka wenzake wanaowania kuteuliwa na CCM kugombea urais wa Tanzania kuwa tayari kuyaheshimu matokeo yatakayoamuliwa na Kamati Kuu, Halmashauri Kuu ya Taifa na Mkutano Mkuu wa CCM katika mchakato wa kumpata mgombea bora wa chama hicho baadaye mwezi ujao.
9 years ago
Habarileo11 Sep
Polisi wataka vyama kuheshimu maadili
KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Omar Hamdani amewataka viongozi wa vyama vya siasa, kuheshimu maadili na kuzingatia sheria za uchaguzi ili kulinda amani na utulivu.
9 years ago
Habarileo06 Nov
Mashabiki watakiwa kuheshimu waamuzi Unguja
VIONGOZI wa klabu za soka wilaya ya Magharibi Unguja wametakiwa kuwadhibiti wachezaji wao na mashabiki, ili kuacha kuwakebehi waamuzi wanapokuwa uwanjani.
9 years ago
Habarileo26 Oct
Shein, Seif waahidi kuheshimu matokeo
MAMIA ya wananchi wa Zanzibar wamejitokeza kwa wingi kupigakura katika uchaguzi mkuu huku wagombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia vyama vinavyopewa nafasi kubwa ya kushinda Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi(CUF) wakiahidi kuheshimu matokeo ya uchaguzi.
10 years ago
Habarileo31 Aug
Wahitimu uuguzi watakiwa kuheshimu viapo vyao
WAHITIMU wa mafunzo ya ukunga na uuguzi nchini wametakiwa kuepukana na vitendo vya kuwanyanyasa wagonjwa vinavyolalamikiwa kufanywa na baadhi ya watumishi hao.
9 years ago
Habarileo10 Sep
Aasa wafuasi kuheshimu mabango ya wapinzani wao
MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema-Zanzibar, Said Issa Mohammed amewaasa wafuasi wa chama hicho pamoja na wanachama wa vyama vingine vya NCCR-Mageuzi, CUF na NLD vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutochana au kubandua picha za mabango ya wagombea wa vyama vingine.