Wananchi waombwa kuheshimu sheria
Watanzania wameombwa kuitunza amani na utulivu vilivyopo nchini ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha amani.
Maombi hayo yamekuja mara baada ya kuibuka taarifa za kuwepo kikundi cha watu wanaotishia kufanya maandamano bila ya kibali kwa lengo la kupinga kuapishwa kwa Rais mteule wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli.
Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Bin Yunusi Ally Mnyasi amesema ni muhimu wananchi wakaheshimu vyombo vya dola na mamlaka iliyowekwa kisheria ili kuondoa uvunjifu...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Madereva watakiwa kuheshimu sheria
MADEREVA wametakiwa kuheshimu sheria na kanuni za usalama barabarani hususani katika suala la matumizi ya alama zinazoakisi mwanga pindi magari yao yanapoharibika au kupatwa na dharura. Akizungumza jijini Dar es...
10 years ago
Michuzi13 Nov
WANANCHI WAOMBWA KUCHANGIA DAMU
![](https://4.bp.blogspot.com/-AsUH_qwLQGs/VGSr7e5svtI/AAAAAAAGw8g/mFo8s5pkN9M/s640/unnamed%2B(5).jpg)
Hayo yalisemwa leo na Afisa Habari wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania Bw. Rajab Mwenda (pichani) katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ilala...
9 years ago
Habarileo24 Oct
Wananchi waombwa kuitii NEC
TAASISI ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imetoa mwito kwa wananchi kutii sheria na taratibu zilizowekwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili kuepuka vurugu wakati wa upigaji kura katika uchaguzi mkuu mkuu unaotarajiwa kufanyika kesho.
5 years ago
BBCSwahili01 Jun
Wananchi waombwa utulivu kukabiliana na majanga mawili ya mlipuko DRC
10 years ago
Dewji Blog24 Apr
Maandalizi ya sherehe za miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakamilika, wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yatapambwa na Kauli Mbiu isemayo Miaka 51 ya Muungano, Tudumishe Amani Na Umoja, Ipigie Kura ya Ndiyo Katiba inayopendekezwa na Kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Askari watakaoshiriki kwenye Gwaride la heshima litakalohusisha vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakiwa wamebeba bendera za Majeshi ya Tanzania...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vVBxhI4Mxm4/Uu89r9EFkPI/AAAAAAAFKiE/hkdnbLz68B0/s72-c/unnamed+(20).jpg)
WANANCHI WAOMBWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
‘Wananchi wengi hawaitumii taaluma ya sheria’
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Tanzania Community Legal Training Association (Tacolta), limezindua utafiti wa kuaninisha njia za utoaji msaada wa kisheria kwa wahitaji uliofanyika katika mikoa sita hapa nchini. Uzinduzi...
5 years ago
MichuziOSHA YATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA NA KUELIMISHA WANANCHI
kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi ikiwemo kuelimisha wananchi kuhusu masuala ya Usalama na Afya kazini ili kupunguza ajali na magonjwa yanayoweza kutokea katika sehemu za kazi.
Agizo hilo limetolewa na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Bw. Andrew Massawe, alipotembelea ofisi za OSHA kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo mbali mbali ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9g0Nth88W80/Xl7EgswZbtI/AAAAAAALgzs/cGmtb8HNmUIH3tEwXDGWYLaj4m2TMY4sgCLcBGAsYHQ/s72-c/eade1d78-46c1-4e8e-8cec-1a444af80c45.jpg)
WANANCHI MKOANI KAGERA KUNUFAIKA NA WIKI YA MSAADA WA SHERIA.
Na Abdullatif Yunus wa Michuzi TV.
Wiki ya msaada wa Sheria imezinduliwa Mkoani Kagera Wilayani Karagwe na Mkuu wa Mkoa Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti katika Viwanja vya Changarawe Wilayani humo, lengo likiwa ni kusogeza huduma hiyo karibu na wananchi hususani makundi maalumu.
Uwepo wa huduma hii itakayotolewa katika Wilaya za Karagwe, Ngara na Biharamlo Mkoani Kagera inafanyika wakati ambapo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imekuwa ikipokea kwa wingi malalamiko ya Wananchi wanaohitaji msaada wa...