WANANCHI WAOMBWA KUCHANGIA DAMU
MPANGO Taifa wa Damu Salama Tanzania (NBTS) unatoa rai kwa wananchi wote wenye sifa za kuchangia damu wajitokeze kuchangia damu katika vituo vya Damu salama hasa kipindi cha mwezi Novemba mpaka Januari mwakani , kipindi ambacho wanafunzi wa sekondari wanakuwa likizo hivyo kusababisha kuongezeka kwa uhaba wa damu nchini.
Hayo yalisemwa leo na Afisa Habari wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania Bw. Rajab Mwenda (pichani) katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ilala...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
WANANCHI WAOMBWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA
10 years ago
StarTV04 Mar
Wakazi Mtwara waombwa kujitokeza kuchangia damu.
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu amewaomba wakazi wa mkoa huo kuhakikisha wanajitokeza kuchangia damu kutokana na kituo cha damu salama cha mikoa ya kanda ya kusini kuonekana kuwa na uhaba mkubwa wa Damu na hivyo kusababisha damu nyingi kuagizwa kutoka kanda nyingine pindi kunapotokea mahitaji ya damu kwa wagonjwa.
Dendegu ameyasema hayo katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya wanawake mkoa Mtwara.
Maadhimisho hayo yameanza kwa mkuu wa Mkoa wa...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Wananchi wahimizwa kuchangia damu
WANANCHI wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwa hiari, ili taifa liweze kuwa na akiba ya kutosha na lifikie malengo ya maendeleo ya milenia. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
10 years ago
Michuzi
WANANCHI MKURANGA WAASWA KUCHANGIA DAMU


11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Wananchi watakiwa kujitokeza kuchangia damu
WANANCHI wa Mkoa wa Morogoro wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuchangia damu kwa hiari katika maadhimisho ya Wiki ya Damu, ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa taifa wa damu salama. Wito...
5 years ago
Michuzi
AZAM FC, TFF KUADHIMISHA SIKU YA UTOAJI DAMU DUNIANI KWA KUCHANGIA DAMU

Zoezi hilo la uchangiaji damu linatarajiwa kufanyika nje ya Uwanja wa Azam Complex kuanzia majira ya saa 6 mchana.
Juni 14, Azam itakuwa ikicheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mbao saa 1.00 usiku na kuhusisha watu wa aina mbalimbali.
Zoezi hilo la uchangiaji damu na kudumisha shirikiano huo...
10 years ago
Michuzi
BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA KUCHANGIA DAMU DUNIANI. DAR ES SALAAM: JUNE 14, 2015


11 years ago
Michuzi
KUFUATIA MUAMKO HAFIFU WA UCHANGIAJI DAMU MKOANI RUKWA KUTOKANA NA DHANA POTOFU ZILIZOPO, MADAKTARI WAONYESHA MFANO KWA KUCHANGIA DAMU KATIKA HOSPITALI KUU YA MKOA HUO

10 years ago
Habarileo20 Sep
Wadau waombwa kuchangia sekta ya afya
WADAU wa Afya nchini wameombwa kuwekeza kwenye sekta hiyo kutokana na bajeti iliyotengwa kwa ajili ya sekta kuwa finyu.