Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi waombwa utulivu kukabiliana na majanga mawili ya mlipuko DRC

Waziri wa afya nchini humo Dkt. Eteni Longondo amethibitisha vifo vya watu wanne waliofariki na ugonjwa wa Ebola.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

SMZ yajipanga kukabiliana na majanga

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga kukabiliana na majanga mbalimbali, ikiwemo matukio ya ajali ya vyombo vya baharini kwa kutoa elimu kwa wananchi na makundi mbalimbali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya inauwezo kukabiliana na majanga?

Katika Mjadala huu tunaangalia kama kweli Kenya inauwezo au iko tayari kupambana na majanga yanapotokea

 

11 years ago

GPL

MAJANGA NIGERIA: MLIPUKO MWINGINE WAUA 18, WENGINE 19 WAKIJERUHIWA

WATU 18 wamepoteza maisha huku zaidi ya 19 wakijeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea mji wa Mubi nchini Nigeria jana jioni. Polisi nchini humo wamethibitisha kutokea kwa mlipuko huo. Inadaiwa kuwa mlipuko huo ulilenga chumba kimoja cha burudani ambapo watu walikuwa wakitazama mechi ya soka kwenye televisheni. Mpaka sasa hakuna kundi lolote lililothibitisha kuhusika na shambulio hilo japo polisi wanadai yawezekana ni kundi la...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI AZANIA WAJIFUNZA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala. Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala.
‘’Tayari tumeuzima’’ walisikika wanafunzi...

 

11 years ago

BBCSwahili

20 wafariki kwenye mlipuko DRC

Watu 20 wanahofiwa kufariki kutokana na mlipuko katika ghala la silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

 

5 years ago

Michuzi

ASKARI ZIMAMOTO KIWANJA CHA NDEGE DODOMA KUJENGEWA UWEZO KATIKA KUKABILIANA NA MAJANGA


 Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi wa Zimamoto na Uokoaji (ACF) Gilbert Mvungi, akizungumza na Maafisa na Akari wa Jeshi hilo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo Maafisa na Akari wa Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma na kuratibiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) kwa kushirikiana na Jeshi la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Iddi aipongeza USAID kwa kuisaidia Zanzibar katika kukabiliana na majanga

653

Kamanda Philip Knightsheen akitoa salamu za Shirika lake linalosimamia huduma za Kibinaadamu  na Afya la Usafricom  kwenye mafunzo ya siku tano ya zoaezi la kukabiliana na maafa Zanzibar katika Zanzibar Beach Resort Mazizini.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Serikali ya Watu wa Marekani kupitia Shirika lake la Misaada ya Maendeleo la Us aid kwa jitihada zake za kuisaidia Zanzibar katika mipango yake ya kutafuta mbinu za kuwa tayari kwa kukabilana na maafa...

 

9 years ago

StarTV

Wananchi waombwa kuheshimu sheria

Watanzania wameombwa kuitunza amani na utulivu vilivyopo nchini ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha amani.

Maombi hayo yamekuja mara baada ya kuibuka taarifa za kuwepo kikundi cha watu wanaotishia kufanya maandamano bila ya kibali kwa lengo la kupinga kuapishwa kwa Rais mteule wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli.

Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Bin Yunusi Ally Mnyasi amesema ni muhimu wananchi wakaheshimu vyombo vya dola na mamlaka iliyowekwa kisheria ili kuondoa uvunjifu...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAOMBWA KUCHANGIA DAMU

MPANGO Taifa wa Damu Salama Tanzania (NBTS) unatoa rai kwa wananchi wote wenye sifa za kuchangia damu wajitokeze kuchangia damu katika vituo vya Damu salama hasa kipindi cha mwezi Novemba mpaka Januari mwakani , kipindi ambacho wanafunzi wa sekondari wanakuwa likizo hivyo kusababisha kuongezeka kwa uhaba wa damu nchini.
Hayo yalisemwa leo na Afisa Habari wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania Bw. Rajab Mwenda (pichani) katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ilala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani