Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madereva watakiwa kuheshimu sheria

MADEREVA wametakiwa kuheshimu sheria na kanuni za usalama barabarani hususani katika suala la matumizi ya alama zinazoakisi mwanga pindi magari yao yanapoharibika au kupatwa na dharura. Akizungumza jijini Dar es...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mashabiki watakiwa kuheshimu waamuzi Unguja

VIONGOZI wa klabu za soka wilaya ya Magharibi Unguja wametakiwa kuwadhibiti wachezaji wao na mashabiki, ili kuacha kuwakebehi waamuzi wanapokuwa uwanjani.

 

10 years ago

Habarileo

Wahitimu uuguzi watakiwa kuheshimu viapo vyao

WAHITIMU wa mafunzo ya ukunga na uuguzi nchini wametakiwa kuepukana na vitendo vya kuwanyanyasa wagonjwa vinavyolalamikiwa kufanywa na baadhi ya watumishi hao.

 

9 years ago

StarTV

Wananchi waombwa kuheshimu sheria

Watanzania wameombwa kuitunza amani na utulivu vilivyopo nchini ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha amani.

Maombi hayo yamekuja mara baada ya kuibuka taarifa za kuwepo kikundi cha watu wanaotishia kufanya maandamano bila ya kibali kwa lengo la kupinga kuapishwa kwa Rais mteule wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli.

Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdallah Bin Yunusi Ally Mnyasi amesema ni muhimu wananchi wakaheshimu vyombo vya dola na mamlaka iliyowekwa kisheria ili kuondoa uvunjifu...

 

11 years ago

Michuzi

Wamiliki wa Vyombo vya habari watakiwa kuheshimu taaluma ya habari

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza na Baadhi ya Wafanyakazi wa chumba cha habari cha Clouds Media wakati wa Ziara ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari kwenye Vyombo vya habari. Kulia ni Mhariri Mkuu wa Clouds Media Joyce Shebe na Kushoto ni Mhariri wa Habari za Michezo Shaffih Dauda. Mhariri Mkuu wa Clouds Media Joyce Shebe akieleza jambo wakati wa Ziara ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari kwenye Kituo hicho katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva watakiwa kuacha kulewa

MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani, kutotumia vinywaji vyenye kilevi na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva wasisitizwa kufuata sheria

KAMPENI ya usalama barabarani ya kuwataka madereva nchini kuzingatia sheria za usalama barabarani iliyozinduliwa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe jana imeendelea katika mkoa wa Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WA DALADALA,MALORI, MABASI YA MIKOANI WATAKIWA KURUDI DARASANI

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii
KIKOSI cha polisi usalama barabarani kimewataka madereva wa mabasi ,magari makubwa pamoja na daladala kwenda kusoma ili kuongeza ujuzi wa kazi zao kutokana na kuwepo kwa teknolojia za kisasa katika magari hayo.
Hayo ameyasema,Ofisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Johansen Kahatano wakati wa semina ya kuwajengea uwezo madereva katika kukabiliana na ajali za barabarani iliyofanyika jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Alisema...

 

9 years ago

Michuzi

madereva wa BRT watakiwa kuzingatia mafunzo, weledi katika kutoa huduma

Serikali imewataka madereva walioanza kupata mafunzo ya kuendesha mabasi yatakayotumika katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) kuzingatia mafunzo hayo ya kihistoria hapa nchini. Mafunzo hayo yaliyoanza jana ni moja ya matayarisho ya kuanza kwa mradi huo katika kipindi cha mpito mwezi Oktoba mwaka huu. Akifungua rasmi mafunzo hayo jana jijini Dar es Salaam, Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bi. Hawa Ghasia aliwataka madereva hao...

 

10 years ago

Michuzi

Madereva watakiwa kutotumia simu wakati wanaendesha vyombo vya moto

Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani nchini Kamanda Mohamed Mpinga,amewataka madereva nchini kuzingatia sheria za barabarani na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
Kamanda Mpiga, alitoa wito huo leo katika hafla ya kupokea pete maalum kutoka kampuni ya Vodacom ikiwa ni mwendelezo wa kampeni yake inayojulikana kama “Wait to Send” inayohamasisha madereva wa vyombo vya magari kuacha matumizi ya simu wanapokwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani