Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEREVA WA DALADALA,MALORI, MABASI YA MIKOANI WATAKIWA KURUDI DARASANI

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii
KIKOSI cha polisi usalama barabarani kimewataka madereva wa mabasi ,magari makubwa pamoja na daladala kwenda kusoma ili kuongeza ujuzi wa kazi zao kutokana na kuwepo kwa teknolojia za kisasa katika magari hayo.
Hayo ameyasema,Ofisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Johansen Kahatano wakati wa semina ya kuwajengea uwezo madereva katika kukabiliana na ajali za barabarani iliyofanyika jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Alisema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Madereva mabasi,malori watishia kugoma

MADEREVA wa malori na mabasi yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi, wametishia kugoma kufanya kazi kuanzia Ijumaa ijayo, ikielezwa ni kutaka kuishinikiza serikali kutatua changamoto zinazowakabili katika utoaji wa huduma za usafiri nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva mabasi, malori wagoma sehemu kubwa ya Tanzania

Nchi imesimama. Hii ndiyo sentensi inayofaa kuelezea tukio la jana la mgomo wa madereva nchini kote ambao kwa mara ya kwanza ulisababisha mabasi yote kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani na nchi jirani kushindwa kuondoka.

 

10 years ago

Michuzi

Chama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI

Mwenyekiti wa Chama cha Kutetea Abiria Taifa(Chakua),Hassan Mhanjama akionyesha barua kwa waandishi wa habari  (hawapo pichani) ambazo wamejibiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka).

Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...

 

10 years ago

GPL

DALADALA, UDA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA MABASI YAENDAYO KASI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik alizumgumza na wamiliki wa UDA na daladala.…

 

10 years ago

Mwananchi

Ewura yawachanganya madereva wa malori

Dar es Salaam. Uamuzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Mafuta nchini(Ewura) kutaka kusafirisha mafuta ndani na nje ya nchi kwa kutumia mabomba na njia ya reli umewachanganya madereva wa malori nchini wanaodai kuwa utaathiri ajira zao

 

10 years ago

Mwananchi

Daladala sasa zaruhusiwa kusafirisha abiria mikoani

Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imeruhusu mabasi ya usafiri jijini Dar es Salaam, maarufu kama daladala, kufanya safari ndefu kwenda mikoa ya kaskazini kutokana na mahitaji makubwa ya huduma hiyo katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Udereva wa mabasi, malori uwe taaluma’

>Chama cha Wamiliki wa Mabasi ya Abiria Tanzania (Taboa), kimesema kama udereva wa mabasi na malori hautafanywa ni taaluma, maisha ya abiria yataendelea kuwekwa rehani.

 

11 years ago

Mwananchi

Trafiki wawashukia madereva wa malori Tabata

Madereva kadhaa wa malori wenye tabia ya kuegesha magari yao katika Barabara ya Mandela eneo la Tabata Relini karibu na ofisi za gazeti hili, wamejikuta wakipigwa na butwaa baada ya kukamatwa na askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani na kupigwa faini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani