Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Udereva wa mabasi, malori uwe taaluma’

>Chama cha Wamiliki wa Mabasi ya Abiria Tanzania (Taboa), kimesema kama udereva wa mabasi na malori hautafanywa ni taaluma, maisha ya abiria yataendelea kuwekwa rehani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Madereva mabasi,malori watishia kugoma

MADEREVA wa malori na mabasi yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi, wametishia kugoma kufanya kazi kuanzia Ijumaa ijayo, ikielezwa ni kutaka kuishinikiza serikali kutatua changamoto zinazowakabili katika utoaji wa huduma za usafiri nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva mabasi, malori wagoma sehemu kubwa ya Tanzania

Nchi imesimama. Hii ndiyo sentensi inayofaa kuelezea tukio la jana la mgomo wa madereva nchini kote ambao kwa mara ya kwanza ulisababisha mabasi yote kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani na nchi jirani kushindwa kuondoka.

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WA DALADALA,MALORI, MABASI YA MIKOANI WATAKIWA KURUDI DARASANI

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii
KIKOSI cha polisi usalama barabarani kimewataka madereva wa mabasi ,magari makubwa pamoja na daladala kwenda kusoma ili kuongeza ujuzi wa kazi zao kutokana na kuwepo kwa teknolojia za kisasa katika magari hayo.
Hayo ameyasema,Ofisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Johansen Kahatano wakati wa semina ya kuwajengea uwezo madereva katika kukabiliana na ajali za barabarani iliyofanyika jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Alisema...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

MCHONGO WA KAZI YA UDEREVA DMV

HIRING CLASS A DRIVER FOR OVER THE ROAD WORK, 
MUST HAVE AT LEAST 2 YEARS CLASS A EXPERIENCE
READY TO BE OUT ON THE ROAD 2 WEEKS MINIMUM
CLEAN DOT,MVA AND BACKGROUND ...
CALL DAN 646 -961 -8010 OR EMAIL DWASIRA@GMAIL.COM

 

9 years ago

Mwananchi

Bodaboda 400 wapewa mafunzo ya udereva

Babati. Waendesha bodaboda 425 wa Kata ya Endakiso wilayani Babati Mkoa wa Manyara wamekabidhiwa leseni na vyeti vya kuhitimu mafunzo ya udereva katika Taasisi ya Ant Poverty Enviromental Care (APEC).

 

9 years ago

Michuzi

Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam

TATIZO la usafiri katika jiji la Dar es Salaam linatarajia kupungua kufuatia kuanza kupindi cha mpito cha mabasi Yaendayo Haraka (BRT) mwezi ujao kufuatia kuwasili kwa mabasi 138 katika Bandari ya Dar es Salaam kutoa China tayari kwa huduma ya usafiri.  Mkuu wa Mkowa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki aliwaambia waandishi wa habari jana wakati alipofanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam kujionea kuwasili kwa mabasi hayo, kuwa wakazi wa Dar es Salaama kwa sasa wataanza kutumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani