Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Trafiki wawashukia madereva wa malori Tabata

Madereva kadhaa wa malori wenye tabia ya kuegesha magari yao katika Barabara ya Mandela eneo la Tabata Relini karibu na ofisi za gazeti hili, wamejikuta wakipigwa na butwaa baada ya kukamatwa na askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani na kupigwa faini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Ewura yawachanganya madereva wa malori

Dar es Salaam. Uamuzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Mafuta nchini(Ewura) kutaka kusafirisha mafuta ndani na nje ya nchi kwa kutumia mabomba na njia ya reli umewachanganya madereva wa malori nchini wanaodai kuwa utaathiri ajira zao

 

10 years ago

Habarileo

Madereva mabasi,malori watishia kugoma

MADEREVA wa malori na mabasi yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi, wametishia kugoma kufanya kazi kuanzia Ijumaa ijayo, ikielezwa ni kutaka kuishinikiza serikali kutatua changamoto zinazowakabili katika utoaji wa huduma za usafiri nchini.

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MOLLEL ATETA NA MADEREVA WA MALORI, NAMANGA

Na WAMJW- Arusha.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga Jijini Arusha na kuzungumza na madereva wa malori yanayokwenda Kenya ili kusikiliza changamoto zinazowakumba.

Dkt. Mollel amefanya ziara hiyo leo, ikiwa ni sehemu ya kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakumba madereva hao, katika kipindi hiki ambacho Dunia imekumbwa na maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya...

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva wa malori wasubiri msaada wa Waziri Sitta

Chama cha Madereva wa Masafa Marefu (Chamamata) kimempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kumteua Samwel Sitta kuwa Waziri wa Uchukuzi, kikiamini kuwa atatatua kero za madereva hao zilizodumu kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva mabasi, malori wagoma sehemu kubwa ya Tanzania

Nchi imesimama. Hii ndiyo sentensi inayofaa kuelezea tukio la jana la mgomo wa madereva nchini kote ambao kwa mara ya kwanza ulisababisha mabasi yote kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani na nchi jirani kushindwa kuondoka.

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WA DALADALA,MALORI, MABASI YA MIKOANI WATAKIWA KURUDI DARASANI

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii
KIKOSI cha polisi usalama barabarani kimewataka madereva wa mabasi ,magari makubwa pamoja na daladala kwenda kusoma ili kuongeza ujuzi wa kazi zao kutokana na kuwepo kwa teknolojia za kisasa katika magari hayo.
Hayo ameyasema,Ofisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Johansen Kahatano wakati wa semina ya kuwajengea uwezo madereva katika kukabiliana na ajali za barabarani iliyofanyika jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Alisema...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Museveni atoa masharti ya kuwadhibiti madereva wa malori Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya ya kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada ya zaidi ya madereva 20 kupatikana na ugonjwa wa Covid-19.

 

5 years ago

CCM Blog

UGANDA YATAZAMIA KUDHIBITI CORONA KWA KUWAZUIA MADEREVA WA MALORI WA TANZANIA NA KENYA

MaloriHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionUganda inategemea mizigo kutoka Kenya na Tanzania kwa kuwa haina bandariIdadi ya wagonjwa nchini Uganda imeongezeka na kufikia 74. Lakini ongezeko hilo si la raia wa Uganda bali madereva kutoka nchi jirani za Kenya na Tanzania.Katika juhudi za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona serikali ya Uganda imefunga mipaka yake na kusimamia marufuku ya wananchi kutoka nje.Hata hivyo, mipaka ya nchi hiyo ipo wazi kwa sekta ya uchukuzi na hutegemea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani