Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kero ya malori Tabata Relini jijini dar

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Trafiki wawashukia madereva wa malori Tabata

Madereva kadhaa wa malori wenye tabia ya kuegesha magari yao katika Barabara ya Mandela eneo la Tabata Relini karibu na ofisi za gazeti hili, wamejikuta wakipigwa na butwaa baada ya kukamatwa na askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani na kupigwa faini.

 

10 years ago

GPL

MABOMU YATIKISA TABATA JIJINI DAR

Askari wa jiji wakiwapakia wafanyabiashara kwenye ‘Karandinga’ ya askari polisi.…

 

10 years ago

GPL

WASTARA APATA AJALI TENA TABATA JIJINI DAR

Wastara baada ya kupata ajali. MSANII wa filamu Bongo, Wastara Juma jana amepata tena ajali wakati akielekea nyumbani kwake maeneo ya  Tabata-Bima jijini Dar es Salaam.
Wastara alijigonga katika kioo cha mbele cha gari lake baada ya kutaka kuvaana na gari kubwa na kulazimika kufunga breki za ghafla akiwa hajafunga mkanda. Msanii huyo ameumia sehemu za usoni. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Wastara aliandika hivi: "DUA...

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LA MIZIGO LAGONGA BASI LA ABIRIA TABATA MATUMBI JIJINI DAR

Lori kubwa aina ya Scania limesababisha ajali baada ya kukatiza barabara ghafla na kuigonga daladala aina ya DCM yenye maba za usajiri T797 BED lenye kufanya safari zake kati ya G/LAMBOTO to UBUNGO.Wasamalia wema wakiwa katika eneo la tukio
Namna gari la abilia lilivyoalibiwa na gari kubwa la mizigo aina ya scaniakwa picha zaidi bofya soma zaidiDamu ambazo ni kwa wale abiria walio jeruhiwa katika ajali hiyo.
 Gari hilo likiwa limepasuka vioo vyote na kuharibika sehemu ya mbele pamoja na kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

Wawili wachoma moto kwa tuhuma za uwizi huko Tabata jijini Dar

Vijana wawili wamechomwa moto katika eneo la Tabata Liwiti wakituhumiwa kuiba pochi ya mwanamke katika eneo hilo,Walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa lilitokea asubuhi ya jana (Jumamosi) ambapo walikuwa watatu wakafukuzwa na watu mbalimbali.
Alisema kuwa walipokamatwa walipigwa na kisha kuchomwa moto.
"Matukio haya yamekuwa yakitokea mara kwa mara hapa Tabata na wezi wanaoiba kwa kutumia pikipiki wamekuwa ni kero kubwa sasa na kila wakikamatwa na kupelekwa vituoni...

 

11 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA KERO KWA WAKAZI WA JIJINI DAR

Dereva wa bodaboda na abiria wake wakipita katika njia iliyojaa maji. Maji yakitiririka kwa kasi katika katika mfereji mmoja uliopo Kijitonyama.…

 

10 years ago

Michuzi

SHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR YANUFAIKA NA KOMPYUTA 24 KUPITIA MRADI WA VODACOM FOUNDATION

Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Kinyerezi Tabata jijini Dar es Salaam, Judith Chalamila akiwaonesha moja ya kompyuta mpakao kati ya(24)wanafunzi wa kidato cha Nne baada ya kukabidhiwa msaada wa kompyuta hizo zilizotolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation. Mradi huo unaoendeshwa na Learning In Sync ni kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo mashuleni. Wanafunzi wa kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari ya Kinyerezi Tabata...

 

11 years ago

GPL

KERO ZA FOLENI BARABARA YA MOROGORO JIJINI DAR ZAENDELEA KUTESA

    Gari jekundu (kushoto) lililoharibikia njiani na kusababisha foleni eneo la Darajani-Kibamba maarufu kama Kwa Mangi.   Lori hili lililoharibikia njiani lilileta majanga maeneo ya Kimara na kusababisha msongamano.…

 

11 years ago

Michuzi

Taasisi ya Farida Foundation yawawezesha wanafunzi wenye mtindio wa ubongo shule ya msingi Tabata jijini Dar

Mwenyekiti wa Taasisi ya Farida Foundation,Bi. Farida Abdul Sekimonyo (wa pili kulia) akikabidhi sehemu ya vitabu kwa mmoja wa Mwanafunzi mwenye mtindio wa Ubongo wanaosoma Shule ya Msingi Tabata jijini Dar.Farida Foundation imetoa vifaa mbali mbali vya kusomea kwa watoto hao wenye mtindio wa Ubongo waliopo kwenye Shule hiyo.Taasisi hiyo ya Farida Foundation imekuwa ikisaidia Walemavu wa aina zote watoto, vijana na watu wazima waliopo Tanzania nzima mpaka sasa imeshasaidia walemavu zaidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani