Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA APATA AJALI TENA TABATA JIJINI DAR

Wastara baada ya kupata ajali. MSANII wa filamu Bongo, Wastara Juma jana amepata tena ajali wakati akielekea nyumbani kwake maeneo ya  Tabata-Bima jijini Dar es Salaam.
Wastara alijigonga katika kioo cha mbele cha gari lake baada ya kutaka kuvaana na gari kubwa na kulazimika kufunga breki za ghafla akiwa hajafunga mkanda. Msanii huyo ameumia sehemu za usoni. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Wastara aliandika hivi: "DUA...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WASTARA APATA AJALI TENA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MAJANGA! Siku chache baada ya hivi karibuni kudaiwa kunywa sumu, staa mkubwa wa sinema Bongo, Wastara Juma amepata tena ajali mbaya. Habari za uhakika zilizolifikia gazeti namba wani la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda mwishoni mwa wiki iliyopita zilieleza kuwa siku ya tukio Wastara alitoka nyumbani kwake Tabata-Bima, Dar na gari lake aina ya Toyota Vitz kwa ajili ya kwenda kununua umeme....

 

11 years ago

GPL

MTOTO ANUSURIKA KUFA KWA AJALI TABATA-DAR

Mtoto Sadam akiwa amejeruhiwa mikononi baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Carry eneo la Tabata West Mtoto Sadam akionekana baada ya kunusurika na ajali hiyo…

 

10 years ago

GPL

MABOMU YATIKISA TABATA JIJINI DAR

Askari wa jiji wakiwapakia wafanyabiashara kwenye ‘Karandinga’ ya askari polisi.…

 

9 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi LHRC apata ajali Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen-Kijo Bisimba amepata ajali ya gari na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

LORI LA MIZIGO LAGONGA BASI LA ABIRIA TABATA MATUMBI JIJINI DAR

Lori kubwa aina ya Scania limesababisha ajali baada ya kukatiza barabara ghafla na kuigonga daladala aina ya DCM yenye maba za usajiri T797 BED lenye kufanya safari zake kati ya G/LAMBOTO to UBUNGO.Wasamalia wema wakiwa katika eneo la tukio
Namna gari la abilia lilivyoalibiwa na gari kubwa la mizigo aina ya scaniakwa picha zaidi bofya soma zaidiDamu ambazo ni kwa wale abiria walio jeruhiwa katika ajali hiyo.
 Gari hilo likiwa limepasuka vioo vyote na kuharibika sehemu ya mbele pamoja na kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

Wawili wachoma moto kwa tuhuma za uwizi huko Tabata jijini Dar

Vijana wawili wamechomwa moto katika eneo la Tabata Liwiti wakituhumiwa kuiba pochi ya mwanamke katika eneo hilo,Walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa lilitokea asubuhi ya jana (Jumamosi) ambapo walikuwa watatu wakafukuzwa na watu mbalimbali.
Alisema kuwa walipokamatwa walipigwa na kisha kuchomwa moto.
"Matukio haya yamekuwa yakitokea mara kwa mara hapa Tabata na wezi wanaoiba kwa kutumia pikipiki wamekuwa ni kero kubwa sasa na kila wakikamatwa na kupelekwa vituoni...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR YANUFAIKA NA KOMPYUTA 24 KUPITIA MRADI WA VODACOM FOUNDATION

Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Kinyerezi Tabata jijini Dar es Salaam, Judith Chalamila akiwaonesha moja ya kompyuta mpakao kati ya(24)wanafunzi wa kidato cha Nne baada ya kukabidhiwa msaada wa kompyuta hizo zilizotolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation. Mradi huo unaoendeshwa na Learning In Sync ni kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo mashuleni. Wanafunzi wa kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari ya Kinyerezi Tabata...

 

10 years ago

GPL

SHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR YANUFAIKA NA KOMPYUTA 24 KUPITIA MRADI WA VODACOM FOUNDATION‏

Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Kinyerezi Tabata jijini Dar es Salaam, Judith Chalamila akiwaonesha moja ya kompyuta mpakato kati ya (24) wanafunzi wa kidato cha Nne baada ya kukabidhiwa msaada wa kompyuta hizo zilizotolewa naTaasisiyaVodacom Foundation.Mradi huo unaoendeshwa na Learning In Sync ni kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo mashuleni. Wanafunzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani