Wawili wachoma moto kwa tuhuma za uwizi huko Tabata jijini Dar

Vijana wawili wamechomwa moto katika eneo la Tabata Liwiti wakituhumiwa kuiba pochi ya mwanamke katika eneo hilo,Walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa lilitokea asubuhi ya jana (Jumamosi) ambapo walikuwa watatu wakafukuzwa na watu mbalimbali.
Alisema kuwa walipokamatwa walipigwa na kisha kuchomwa moto.
"Matukio haya yamekuwa yakitokea mara kwa mara hapa Tabata na wezi wanaoiba kwa kutumia pikipiki wamekuwa ni kero kubwa sasa na kila wakikamatwa na kupelekwa vituoni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
KIBAKA ACHOMWA MOTO MAENEO YA TABATA-KIMANGA, DAR
10 years ago
Mwananchi25 Feb
Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5
5 years ago
Michuzi
MKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25
Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...
10 years ago
Vijimambo
WATU WATATU WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mmiliki wa shule ya Mtakatifu Zion iliyopo maeneo ya Ununio, Mbezi Beach wilaya ya kipolisi Kawe mkoa wa kipolisi wa Kinondoni aliyejulikana kwa jina la ANNA D/O MIZINGI, Miaka 48, Mfanyabiashara, Mkazi wa Boko.
Mnamo tarehe 02/02/2015 majira ya saa za mchana mtoa taarifa alifika kituo cha Polisi na kueleza kwamba marehemu ANNA D/O MIZINGI aliondoka tangu tarehe 26/12/2014 majira ya saa 1:00hrs...
11 years ago
Habarileo04 Apr
Wawili kortini kwa tuhuma za kughushi
WASHTAKIWA wawili, Salum Mkoko na Mustaph Kantelu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka matano ya kughushi, kutoa taarifa za uongo, matumizi mabaya ya madaraka na kukwepa kulipa kodi.
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Familia yateketea kwa moto jijini Dar
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Wawili mbaroni kwa tuhuma za kuwateka watoto
10 years ago
Habarileo24 Dec
Polisi yashikilia wawili kwa tuhuma za uhalifu
POLISI mkoani Rukwa inashikilia watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya kihalifu mjini hapa.
11 years ago
GPLMABOMU YATIKISA TABATA JIJINI DAR