Wawili mbaroni kwa tuhuma za kuwateka watoto
Polisi wa Kanda ya Dar es Salaam wamewakamata watu wawili wenye asili ya Kiasia ambao wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya utekaji nyara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
WATU WATANO (5) MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MADEREVA WAWILI WA BODABODA MKOANI DODOMA
.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu watano (5) kwa kuhusika na mauaji ya madereva wawili wa bodaboda kwa nyakati tofauti.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema watuhumiwa watatu ambao ni ALEX S/O LETEMA LEWENJE mweye umri wa miaka 20, Mkaguru, ANDREA S/O MAJUTO CHIGUNDULA mwenye umri wa miaka 24, Mkaguru na NABAKI S/O MAUNGO MWIGOE mwnye umri wa miaka 23, Mkaguru wote...
11 years ago
Habarileo16 Oct
Wawili mbaroni tuhuma za ujambazi
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali wanazotumia kufanyia uhalifu wilayani Rombo.
9 years ago
Habarileo31 Dec
71 mbaroni kwa tuhuma za uhalifu
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema limewakamata watu 71, silaha nne na dawa za kulevya katika oparesheni ya mwishoni mwa mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Kamishna wa Polisi Kanda hiyo, Suleiman Kova alisema Desemba 24 mwaka huu, maeneo ya Ubungo Kibo, Kinondoni, Polisi walipata taarifa kutoka kwa mwananchi ambapo walifanikiwa kumkamata mfanyabiashara, Peter Massawe (25).
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Mbaroni kwa tuhuma za utapeli
Na Upendo Mosha
SERIKALI wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, inamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Preygod Mmasi, kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli kwa kutumia kivuli cha Ofisi ya Waziri Mkuu na kuwatapeli wawekezaji wilayani humo kwa kushirikiana na baadhi ya watumishi wa Serikali.
Akizungumzia tukio hilo, Mkuu wa wilaya hiyo, Athoniy Mtaka ambaye pia ni Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilayani humo, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa Juni mosi mwaka huu saa 3 usiku mkoani Arusha...
11 years ago
Habarileo04 Apr
Wawili kortini kwa tuhuma za kughushi
WASHTAKIWA wawili, Salum Mkoko na Mustaph Kantelu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka matano ya kughushi, kutoa taarifa za uongo, matumizi mabaya ya madaraka na kukwepa kulipa kodi.
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Hakimu mbaroni kwa tuhuma ya rushwa
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Mbaroni kwa tuhuma za kuilipua Chadema
11 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Mbaroni kwa tuhuma za kuua askari
JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikiliwa watu wawili wakazi wa Murubona Wilayani Kasulu kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili akiwemo askari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jaffar Mohamed,...
11 years ago
Habarileo27 Mar
Mbaroni kwa tuhuma za kuua mke
POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora inamshikilia Athuman Kiula (49) kwa tuhuma za kumuua mke wake.