Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbaroni kwa tuhuma za kuilipua Chadema

>Hatimaye Polisi limewakata watu 12 likiwatuhumu kuhusika kuushambulia kwa bomu mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika kwenye Viwanja vya Soweto jijini hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mbaroni kwa tuhuma za utapeli

Na Upendo Mosha
SERIKALI wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, inamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Preygod Mmasi, kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli kwa kutumia kivuli cha Ofisi ya Waziri Mkuu na kuwatapeli wawekezaji wilayani humo kwa kushirikiana na baadhi ya watumishi wa Serikali.
Akizungumzia tukio hilo, Mkuu wa wilaya hiyo, Athoniy Mtaka ambaye pia ni Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilayani humo, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa Juni mosi mwaka huu saa 3 usiku mkoani Arusha...

 

9 years ago

Habarileo

71 mbaroni kwa tuhuma za uhalifu

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema limewakamata watu 71, silaha nne na dawa za kulevya katika oparesheni ya mwishoni mwa mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Kamishna wa Polisi Kanda hiyo, Suleiman Kova alisema Desemba 24 mwaka huu, maeneo ya Ubungo Kibo, Kinondoni, Polisi walipata taarifa kutoka kwa mwananchi ambapo walifanikiwa kumkamata mfanyabiashara, Peter Massawe (25).

 

11 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa tuhuma za kuua mke

POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora inamshikilia Athuman Kiula (49) kwa tuhuma za kumuua mke wake.

 

10 years ago

Vijimambo

KAFULILA MBARONI KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila---JESHI la Polisi linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kwa tuhuma za uchochezi, akiwataka wananchi wasichangie ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini.

Kafulila alikamatwa mapema jana asubuhi katika mji mdogo wa Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, ambako alikuwa akifanya mikutano ya hadhara, kuelezea sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Escrow na kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za...

 

10 years ago

Habarileo

Watatu mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulPOLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mwanamke ambao wote ni wakazi wa Kijiji cha Mkindo wilayani Mvomero mkoani hapa kwa tuhuma za mauaji ya Huruma Naloloi (32) mkazi wa Mikocheni, Kata ya Dakawa kwa kutumia bunduki na kumpora pikipiki yake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mlemavu

JESHI la Polisi mkoani hapa, linamshikilia Hamad Banda (42), Mkazi wa Ligula B, kwa tuhumu ya kumbaka msichana wa miaka 17 (jina linahifadhiwa), ambaye ni mlemavu wa akili. Akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Hakimu mbaroni kwa tuhuma ya rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Pwani (Takukuru), inamshikilia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Mailimoja, Ismail Karuta kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh130,000.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa tuhuma za kuua askari

JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikiliwa watu wawili wakazi wa Murubona Wilayani Kasulu kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili akiwemo askari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jaffar Mohamed,...

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili mbaroni kwa tuhuma za kuwateka watoto

Polisi wa Kanda ya Dar es Salaam wamewakamata watu wawili wenye asili ya Kiasia ambao wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya utekaji nyara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani