SHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR YANUFAIKA NA KOMPYUTA 24 KUPITIA MRADI WA VODACOM FOUNDATION

Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Kinyerezi Tabata jijini Dar es Salaam, Judith Chalamila akiwaonesha moja ya kompyuta mpakao kati ya(24)wanafunzi wa kidato cha Nne baada ya kukabidhiwa msaada wa kompyuta hizo zilizotolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation. Mradi huo unaoendeshwa na Learning In Sync ni kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo mashuleni.
Wanafunzi wa kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari ya Kinyerezi Tabata...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR YANUFAIKA NA KOMPYUTA 24 KUPITIA MRADI WA VODACOM FOUNDATION
10 years ago
GPL
SHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR ES SALAAM YAUNGANISHIWA VIFAA MAALUM VYA KUJIFUNZIA MASOMO KUPITIA KOMPYUTA
10 years ago
GPL
SHULE YA SEKONDARI MTAKUJA YA KUNDUCHI BEACH, DAR, YAPOKEA MSAADA WA KOMPYUTA TOKA VODACOM FOUNDATION
10 years ago
Michuzi
SHULE YA MSINGI MLIMANI JIJINI DAR YAFAIDIKA NA MSAADA WA KOMPYUTA 20 TOKA VODACOM FOUNDATION


10 years ago
GPL
SHULE YA MSINGI MLIMANI JIJINI DAR YAFAIDIKA NA MSAADA WA KOMPYUTA 20 TOKA VODACOM FOUNDATION
10 years ago
Michuzi
SHULE YA SEKONDARI MTAKUJA YA KUNDUCHI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM YAPOKEA MSAADA WA KOPYUTA TOKA VODACOM FOUNDATION


10 years ago
Michuzi
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MTAKUJA YA JIJINI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA MASHULENI


10 years ago
GPL
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MTAKUJA YA JIJINI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA MASHULENI
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Dar es Salaam, wanafunzi wake wanufaika na mradi wa kompyuta mashuleni
Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza mwalimu wao wa masomo ya Sayansi Elibariki John,akiwafundisha somo hilo kwa vitendo kupitia kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.
Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,...