UGANDA YATAZAMIA KUDHIBITI CORONA KWA KUWAZUIA MADEREVA WA MALORI WA TANZANIA NA KENYA
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionUganda inategemea mizigo kutoka Kenya na Tanzania kwa kuwa haina bandariIdadi ya wagonjwa nchini Uganda imeongezeka na kufikia 74. Lakini ongezeko hilo si la raia wa Uganda bali madereva kutoka nchi jirani za Kenya na Tanzania.Katika juhudi za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona serikali ya Uganda imefunga mipaka yake na kusimamia marufuku ya wananchi kutoka nje.Hata hivyo, mipaka ya nchi hiyo ipo wazi kwa sekta ya uchukuzi na hutegemea...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Virusi vya Corona: Uganda yatazamia kudhibiti corona kwa kuwazuia madereva wa Kenya, Tanzania
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lZzNfXfVhV4/XsTn5u17QQI/AAAAAAALq5w/950m47biu_gZX3PL4eb-b-6ODbyOy2p9wCLcBGAsYHQ/s72-c/mboo.jpg)
5 years ago
BBCSwahili27 Apr
Virusi vya corona: Madereva 4 wa malori kutoka Tanzania wakutwa na virusi hivyo Uganda
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya corona: Museveni atoa masharti ya kuwadhibiti madereva wa malori Uganda
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya Corona: Madereva 25 kutoka Tanzania wamezuiwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na corona.
5 years ago
BBCSwahili19 May
Virusi vya corona: Jinsi madereva wa malori ya kubeba mizigo wanavyokumbwa na unyanyapaa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QXq3WFikVG8/XsuWWq-91OI/AAAAAAALreY/wdKAldO08JM14SCviwQ9X_cYoBeukG77ACLcBGAsYHQ/s72-c/b2bd9d11-8ff1-4e6d-a55d-3ce162454f01.jpg)
Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19)
Na WAMJW – Dar es Salaam
Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanakula vyakula ambavyo vitalinda kinga zao za mwili.
Rai hiyo imetolewa hivi karibuni na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (WAMJW) Ummy Mwalimu wakati akizungumza na baadhi ya madereva wa kampuni mbalimbali za malori zinazosafirisha mizigo nje ya nchi waliofika katika maabara...
10 years ago
Mwananchi05 May
Madereva mabasi, malori wagoma sehemu kubwa ya Tanzania
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Ewura yawachanganya madereva wa malori