Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUFUATIA KUONGEZEKA KWA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA MADEREVA WA MALORI KUTOKA NCHINI KENYA KUPIMWA CORONA MPAKANI NAMANGA JIJINI ARUSHA



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19)


Na WAMJW – Dar es Salaam
Serikali imewataka madereva wa malori nchini kuchukuwa tahadhari dhidi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanakula vyakula ambavyo vitalinda kinga zao za mwili.

Rai hiyo imetolewa hivi karibuni  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (WAMJW) Ummy Mwalimu  wakati akizungumza na baadhi ya madereva wa kampuni mbalimbali za malori zinazosafirisha  mizigo nje ya nchi waliofika katika maabara...

 

5 years ago

CCM Blog

UGANDA YATAZAMIA KUDHIBITI CORONA KWA KUWAZUIA MADEREVA WA MALORI WA TANZANIA NA KENYA

MaloriHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionUganda inategemea mizigo kutoka Kenya na Tanzania kwa kuwa haina bandariIdadi ya wagonjwa nchini Uganda imeongezeka na kufikia 74. Lakini ongezeko hilo si la raia wa Uganda bali madereva kutoka nchi jirani za Kenya na Tanzania.Katika juhudi za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona serikali ya Uganda imefunga mipaka yake na kusimamia marufuku ya wananchi kutoka nje.Hata hivyo, mipaka ya nchi hiyo ipo wazi kwa sekta ya uchukuzi na hutegemea...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Madereva 25 kutoka Tanzania wamezuiwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na corona.

Katika mkutano wake na wanahabari naibu waziri wa Afya Rashid Aman amesema kwamba maabara 2 za kuhama hama zitazinduliwa katika mpaka wa Namanga ili kuimarisha upimaji wa wagonjwa wapya.

 

5 years ago

Michuzi

ARUSHA KUANZISHA UTARATIBU WA KUCHUKUA SAMPULI NA KUWAPIMA MADEREVA WA MALORI MPAKA WA NAMANGA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Mkoa wa Arusha umeona umuhimu wa kuanzisha utaratibu wa kuchukua sampuli na kuwapima madereva wa Malori yanayopita mpaka wa Namanga mkoani Arusha wakitokea nchi jirani ya Kenya kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19.
Mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo amesema kuwa Sampuli zote zinazochukuliwa na wataalam wa Afya zimekuwa zinapelekwa Maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa ajili ya kupata majibu ya vipimo husika.
Tumechukua uamuzi huu ili kuwalinda wananchi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watu 24 wapatikana na maambukizi ya corona kwa siku moja Kenya

Kenya imerekodi idadi kubwa ya maambukizi ya corona kwa siku moja , kuwahi kushuhudiwa tangu kisa cha kwanza cha maambukizi hayo kilipotangazwa tarehe 12 Machi

 

5 years ago

BBCSwahili

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Madereva 4 wa malori kutoka Tanzania wakutwa na virusi hivyo Uganda

Wizara ya afya nchini Uganda imetangaza wagonjwa wanne wapya wa virusi vya corona na kufanya idadi ya wanaothirika na ugonjwa huo kufikia 79.

 

5 years ago

CCM Blog

MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA (CORONA COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI


Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini tarehe 16 Machi, 2020, Serikali ilichukua hatua mbalimbali kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huu nchini. 
Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufunga shule zote za Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo na taasisi za elimu nchini. Kutokana na takwimu za mwenendo wa ugonjwa huu nchini kwa sasa kuonyesha kupungua kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, mnamo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wagonjwa wa corona 4 wafariki huku 15 wakipata maambukizi Kenya

Kenya imeripoti jumla ya visa 411 vya maambukizi ya virusi vya corona Ijumaa, kwa mujibu wa taarifa za hivi punde zilizotangazwa na Waziri wa Afya wan chi hiyo Bwana Mutahi Kagwe

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani