ARUSHA KUANZISHA UTARATIBU WA KUCHUKUA SAMPULI NA KUWAPIMA MADEREVA WA MALORI MPAKA WA NAMANGA
Na.Vero Ignatus,Arusha.
Mkoa wa Arusha umeona umuhimu wa kuanzisha utaratibu wa kuchukua sampuli na kuwapima madereva wa Malori yanayopita mpaka wa Namanga mkoani Arusha wakitokea nchi jirani ya Kenya kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19.
Mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo amesema kuwa Sampuli zote zinazochukuliwa na wataalam wa Afya zimekuwa zinapelekwa Maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa ajili ya kupata majibu ya vipimo husika.
Tumechukua uamuzi huu ili kuwalinda wananchi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lZzNfXfVhV4/XsTn5u17QQI/AAAAAAALq5w/950m47biu_gZX3PL4eb-b-6ODbyOy2p9wCLcBGAsYHQ/s72-c/mboo.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JSt9Lq7X9rw/XuCK5RU0DNI/AAAAAAALtTc/xHzRar7eGGgEqFuxhVWqDd9IXvTqLDYyQCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
DKT. MOLLEL ATETA NA MADEREVA WA MALORI, NAMANGA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga Jijini Arusha na kuzungumza na madereva wa malori yanayokwenda Kenya ili kusikiliza changamoto zinazowakumba.
Dkt. Mollel amefanya ziara hiyo leo, ikiwa ni sehemu ya kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakumba madereva hao, katika kipindi hiki ambacho Dunia imekumbwa na maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-A9ANvk03BiI/XuCPh6n8QNI/AAAAAAAAVXA/rJhFNTT11nAmROz4NqOp4jLRvf6o5Ki6QCLcBGAsYHQ/s72-c/0f346207-5dc6-4a08-a2d0-840555665cdb.jpg)
NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. GODWIN MOLLEL ATETA NA MADEREVA WA MALORI NAMANGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-A9ANvk03BiI/XuCPh6n8QNI/AAAAAAAAVXA/rJhFNTT11nAmROz4NqOp4jLRvf6o5Ki6QCLcBGAsYHQ/s400/0f346207-5dc6-4a08-a2d0-840555665cdb.jpg)
Dkt. Mollel amefanya ziara hiyo leo, ikiwa ni sehemu ya kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakumba madereva hao, katika kipindi hiki ambacho Dunia imekumbwa na maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Dkt....
9 years ago
MillardAyo04 Jan
TFDA walivyonasa mzigo wa magendo ulioingizwa kwenye mpaka wa Namanga Arusha..
Kumekuwa na stori kuhusu ishu Mamlaka ya Dawa na Chakula, TFDA kuingia kwenye kona mbalimbali za Tanzania na kukamata vipodozi vyenye viambata vya sumu pamoja na vile ambavyo vimepigwa marufuku. Meneja wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kanda ya kaskazini, Damasi Matiko ametusogezea ripoti jinsi ambavyo walinasa vipodozi hivyo Arusha >>> ‘Dawa hizo zilikamatwa […]
The post TFDA walivyonasa mzigo wa magendo ulioingizwa kwenye mpaka wa Namanga Arusha.. appeared first on...
10 years ago
MichuziVODACOM TANAZANIA YAENDESHA ZOEZI LA KUWAPIMA KIWANGO CHA KILEVI MADEREVA JIJINI ARUSHA
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
Coronavirus: Kwa nini kuna hali ya sintofahamu katika mpaka wa Namanga na Holili?
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Ewura yawachanganya madereva wa malori
10 years ago
Habarileo06 Apr
Madereva mabasi,malori watishia kugoma
MADEREVA wa malori na mabasi yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi, wametishia kugoma kufanya kazi kuanzia Ijumaa ijayo, ikielezwa ni kutaka kuishinikiza serikali kutatua changamoto zinazowakabili katika utoaji wa huduma za usafiri nchini.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Trafiki wawashukia madereva wa malori Tabata