Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. GODWIN MOLLEL ATETA NA MADEREVA WA MALORI NAMANGA

  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga Jijini Arusha na kuzungumza na madereva wa malori yanayokwenda Kenya ili kusikiliza changamoto zinazowakumba.

Dkt. Mollel amefanya ziara hiyo leo, ikiwa ni sehemu ya kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakumba madereva hao, katika kipindi hiki ambacho Dunia imekumbwa na maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.

Dkt....

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DKT. MOLLEL ATETA NA MADEREVA WA MALORI, NAMANGA

Na WAMJW- Arusha.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga Jijini Arusha na kuzungumza na madereva wa malori yanayokwenda Kenya ili kusikiliza changamoto zinazowakumba.

Dkt. Mollel amefanya ziara hiyo leo, ikiwa ni sehemu ya kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakumba madereva hao, katika kipindi hiki ambacho Dunia imekumbwa na maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya...

 

5 years ago

CCM Blog

NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. MOLLEL AFAGIA UONGOZO HOSPITALI YA MAUNT MERU

Na WAMJW- ARUSHANaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel ameagiza kuondolewa kwa safi ya uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru inayoongozwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Shafii Msechu ikiwa ni sehemu ya maboresho katika Sekta ya Afya.
Dkt. Mollel ametoa agizo hilo wakati alipofanya ziara katika Hospitali hiyo na kuzungumza na timu ya uendeshaji wa huduma za Afya ya Mkoa ukiongozwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha...

 

5 years ago

CCM Blog

NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. MOLLEL ATEMBELEA BOHARI KUU YA DAWA (MSD) JIJINI DAR ES SALAAM

Na WAMJW- DSM.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt Godwin Mollel ametembelea Bohari ya Dawa (MSD) Makao Makuu na kuzungumza na watumishi wa taasisi hiyo ili kufahamu namna taasisi hiyo inavotekeleza majukumu yake.
Akizungumza na viongozi wa Bohari ya Dawa Jijini Dar es Salaam Dkt Mollel amesema lengo la kutembelea taasisi hiyo ni kuangalia maboresho katika uagizaji, utunzaji na usambazaji wa dawa vifaa tiba na vitendanishi vya maabara ili kuboresha huduma ya...

 

5 years ago

Michuzi

ARUSHA KUANZISHA UTARATIBU WA KUCHUKUA SAMPULI NA KUWAPIMA MADEREVA WA MALORI MPAKA WA NAMANGA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Mkoa wa Arusha umeona umuhimu wa kuanzisha utaratibu wa kuchukua sampuli na kuwapima madereva wa Malori yanayopita mpaka wa Namanga mkoani Arusha wakitokea nchi jirani ya Kenya kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19.
Mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo amesema kuwa Sampuli zote zinazochukuliwa na wataalam wa Afya zimekuwa zinapelekwa Maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa ajili ya kupata majibu ya vipimo husika.
Tumechukua uamuzi huu ili kuwalinda wananchi...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT NDUGULILE ATOA UFAFANUZI KUHUSU BARAKOA NA MATUMIZI YAKE

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile


NA DK FAUSTINE NDUGULILE

Kuna clip inazunguka mitandaoni nikiongelea kuhusu barakoa za kitambaa. Napenda kutoa ufafanuzi ufuatavyo:

1. Barakoa za N95 zinapaswa kutumika na watoa huduma wa afya wanaohudumia wagonjwa wa Covid-19. Barakoa hizi hazipaswi kuvaliwa mitaani, majumbani wala maofisini.

2. Barakoa za upasuaji (surgical masks) hizi zinapaswa kuvaliwa na watumishi wa afya ambao hawana direct contact na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani