Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFDA walivyonasa mzigo wa magendo ulioingizwa kwenye mpaka wa Namanga Arusha..

Kumekuwa na stori kuhusu ishu Mamlaka ya Dawa na Chakula, TFDA kuingia kwenye kona mbalimbali za Tanzania na kukamata vipodozi vyenye viambata vya sumu pamoja na vile ambavyo vimepigwa marufuku. Meneja wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kanda ya kaskazini, Damasi  Matiko ametusogezea ripoti jinsi ambavyo walinasa vipodozi hivyo Arusha >>> ‘Dawa hizo zilikamatwa […]

The post TFDA walivyonasa mzigo wa magendo ulioingizwa kwenye mpaka wa Namanga Arusha.. appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ARUSHA KUANZISHA UTARATIBU WA KUCHUKUA SAMPULI NA KUWAPIMA MADEREVA WA MALORI MPAKA WA NAMANGA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Mkoa wa Arusha umeona umuhimu wa kuanzisha utaratibu wa kuchukua sampuli na kuwapima madereva wa Malori yanayopita mpaka wa Namanga mkoani Arusha wakitokea nchi jirani ya Kenya kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19.
Mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo amesema kuwa Sampuli zote zinazochukuliwa na wataalam wa Afya zimekuwa zinapelekwa Maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa ajili ya kupata majibu ya vipimo husika.
Tumechukua uamuzi huu ili kuwalinda wananchi...

 

9 years ago

Michuzi

TFDA wakamata bidhaa za magendo jijini Mbeya leo

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi jijini Mbeya, mapema mchana wa leo wamekamata bidhaa zilizoingizwa nchini kimagendo kupitia mpaka wa Tunduma. Bidhaa hizo ni vinywaji aina ya Dragon vilivyokuwa vikisafirishwa na gari aina ya Toyota Hiace. Pichani ni Kamanda wa Polisi Mkoani wa Mbeya, SACP Ahmed Msangi (akiwasiliana kwa njia ya simu) akiwa pamoja na Afisa wa TFDA Kanda ya Nyanda za juu kusini, Peter Namaumbo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwa nini kuna hali ya sintofahamu katika mpaka wa Namanga na Holili?

Mipaka miwili ya Tanzania na Kenya eneo la Namanga na Holili imefungwa tena baada ya kuibuka hali ya sintofahamu kuhusu utekelezaji wa makubaliano yaliyowekwa kati ya nchi hizo mbili

 

10 years ago

GPL

MAJENGO YA KISASA MPAKANI NAMANGA-ARUSHA YANASWA NA GLOBAL

 Baadhi ya majengo  ya kisasa yaliyopo katika mpaka wa Namanga-Arusha .…

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KIKAZI YA BODI YA USHAURI YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII (MAB) KWA TFDA JIJINI ARUSHA

Utendaji wa TFDA Katika Udhibiti wa Bidhaa Za Vyakula, Dawa, Vipodozi na Vifaa Tiba WapongezwaKatibu Tawala (RAS) wa Mkoa wa Arusha, Bw. Adon S. Mapunda, akiwakaribisha wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa TFDA (MAB) wakati walipofanya ziara ofisini kwake mapema wiki hii kwa lengo la kujadili mikakati ya kudhibiti  chakula, dawa na vipodozi mkoani Arusha. Pamoja na mambo mengine, Bw. Mapunda aliipongeza TFDA kwa utendaji kazi mzuri na kuahidi kuendelea kutoa...

 

10 years ago

GPL

SHITUKA WEWE! UTAISHI KWENYE NYUMBA YA KUPANGA MPAKA LINI?

Maisha siku zote ni kuwa na malengo, namaanisha malengo ya muda mfupi na yale ya muda mrefu. Kwamba unaishi huku ukijua mwaka huu utafanya jambo flani na mwaka kesho utafanya jambo flani.
Cha ajabu sasa wapo watu ambao hawana malengo yoyote, wanaishi ili mradi siku zinakwenda. Hili ni tatizo na ukijaribu kufuatilia utagundua wote wanaoishi bila malengo wana maisha magumu na wameridhika nayo. Yaani hawajui kesho yao itakuwaje na...

 

11 years ago

Michuzi

Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa Yaanza leo mjini Maputo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiongea katika mkutano a Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa yameanza leo Jijini Maputo, Msumbiji kwa kuzikutanisha pande zote mbili za mgogoro huo.  Mazungumzo hayo yaliyopo chini ya Jopo la Usuluhishi linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joachim Chissano akisaidiwa na Mhe. Thabo Mbeki Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini na Mhe. Festus Mogae Rais Mstaafu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani