SHITUKA WEWE! UTAISHI KWENYE NYUMBA YA KUPANGA MPAKA LINI?
![](http://api.ning.com:80/files/YRV3Lv4YkEINPKxFObpaV6dig507sTFPzpIceOkb7-B2fKlftM4VRKaKviBanfiOtR98fk-Me0pkZMM5zpMl2aJ0dcH3Vsx7/BuenosAiresApartmentRentals111.jpg)
Maisha siku zote ni kuwa na malengo, namaanisha malengo ya muda mfupi na yale ya muda mrefu. Kwamba unaishi huku ukijua mwaka huu utafanya jambo flani na mwaka kesho utafanya jambo flani. Cha ajabu sasa wapo watu ambao hawana malengo yoyote, wanaishi ili mradi siku zinakwenda. Hili ni tatizo na ukijaribu kufuatilia utagundua wote wanaoishi bila malengo wana maisha magumu na wameridhika nayo. Yaani hawajui kesho yao itakuwaje na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ujcza9N5GbIzBMRRb8orqeUj9PiZfzi2X6rLvz*CTQBRIt4RhhrKMCq7f0xpu08WIUv-jhrYGUWoV*uH-aefPzjSHvy4cDSK/13.jpg)
UTAISHI KWA KUUNGAUNGA, KUPIGA MIZINGA HADI LINI?
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi6565AXjEtuKJmtXroVicDOsOCZe5MLOyCPiSwVUn0FXAs9bp8JNP8wd3Eiwcnfg5fBFDx1*W7HFRpv23YMGX4qS/unhappycouple.jpg?width=650)
HANA WIVU NA WEWE...HAKUFUATILII...MESEJI MPAKA UANZE WEWE... HUYO ANA MALENGO YAKE!
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Aibu hii Dar mpaka lini?
TAKRIBAN watu watano wameripotiwa kufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, huku wengine 34 wakiugua ugonjwa huo.
Kwa mujibu wa taarifa, wagonjwa hao wanatoka maeneo ya Kijitonyama, Kimara, Manzese, Tandale, Saranga, Makumbusho, Kimara na Mwananyamala.
Imezoeleka ugonjwa huu kuibuka wakati wa msimu wa mvua kutokana na mazingira kwa kipindi hicho kuwa machafu kwa sababu ya majitaka yanayozagaa ovyo mitaani.
Hata hivyo, kipindupindu ni ugonjwa...
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Tutakuwa nchi ya walalamikaji mpaka lini?
JUZI Naibu Spika, Job Ndugai, aliitaka Serikali kushughulikia suala la mauaji ya Kiteto yanayotokea mara kwa mara kiasi cha kulifananisha eneo hilo na nchi ya Somalia. Somalia ni miongoni mwa...
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Maswali mengi kuliko majibu mpaka lini?
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Karaha za kupanga nyumba Dar
10 years ago
Mwananchi12 Aug
Matapeli nyumba za kupanga watokomezwe
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Utapeli wa nyumba za kupanga waibuka
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Tutandelea kutengeneza filamu kwa mtindo wa bora liende mpaka lini?