Utapeli wa nyumba za kupanga waibuka
Umeibuka mtandao wa matapeli jijini hapa wanaojifanya madalali wa nyumba na viwanja, ambao wanatumia matangazo na namba za simu wanazoziweka magazetini kuwanasa watu kwa urahisi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Utapeli wa kuongeza nauli waibuka Ubungo
KATIKA Kituo cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya Nchi cha Ubungo (UBT), kumeibuka utapeli unaofanywa na mawakala wa kuwauzia tiketi kwa bei ya juu wasafiri. Akizungumza na Tanzania Daima...
10 years ago
Mwananchi12 Aug
Matapeli nyumba za kupanga watokomezwe
Jana tulichapisha habari ya kuwapo mtandao wa matapeli wa nyumba za kupanga jijini Dar es Salaam. Matapeli hao wanajifanya madalali wa nyumba na viwanja, ambao wanatumia matangazo na namba za simu wanazoweka magazetini kuwanasa watu kwa urahisi. Ni mtandao ambao hakika umenasa watu wengi ambao wameingizwa katika mitego yake pasipo kujua.
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Karaha za kupanga nyumba Dar
>Karibu nusu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanaishi katika nyumba za kupanga ambazo pamoja na kuwa ni chanzo cha mapato kwa wanaozimiliki, kwa upande mwingine ni karaha kwa wapangaji.
11 years ago
Michuzi09 Apr
NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka
NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka sana.
Sifa zake ni vyumba viwili na sebule kimoja. Chumba kimoja kiwe masta. Ama chumba kimoja Masta na sebule Nyumba iwe kati ya Wilolesi , Lugalo, Kihesa , Gangilonga , Ilala , Makorongoni ama Mshindo
Kodi yake isizidi zaidi ya 150,000 kwa mwezi mteja anataka kulipa kodi ya miezi mitatu kwa mara moja.
Angalizo: hatuhitaji dalali tunataka mwenye nyumba mwenyewe kuwasiliana nasi.
kama una nyumba ...
10 years ago
GPL
SHITUKA WEWE! UTAISHI KWENYE NYUMBA YA KUPANGA MPAKA LINI?
Maisha siku zote ni kuwa na malengo, namaanisha malengo ya muda mfupi na yale ya muda mrefu. Kwamba unaishi huku ukijua mwaka huu utafanya jambo flani na mwaka kesho utafanya jambo flani.
Cha ajabu sasa wapo watu ambao hawana malengo yoyote, wanaishi ili mradi siku zinakwenda. Hili ni tatizo na ukijaribu kufuatilia utagundua wote wanaoishi bila malengo wana maisha magumu na wameridhika nayo. Yaani hawajui kesho yao itakuwaje na...
11 years ago
Mwananchi01 Feb
NHC waibuka na ujenzi nyumba maalumu
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limeanza kujenga majengo rafiki kwa mazingira bora na kupunguza gharama za umeme na maji.
11 years ago
Michuzi
KUPANGA MIJI SIO KUKATA VIWANJA,AFAGILIA UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA-PROF.TIBAIJUKA

Alisema katika kipindi kifupi Shirika limefanya mageuzi makubwa kwenye sekta ya makazi na kwamba miradi hiyo itakapokamilika,itaifanya miji hiyo kuwa ya...
11 years ago
Bongo530 Sep
Akothee: Msanii wa Kenya aliyepitia udereva ma3/taxi hadi kumiliki kampuni ya tour na nyumba za kupanga (Video)
Kwa msichana mwingine, kuachwa na mume aliyekuwa akimtegemea kwa kila kitu na kuachiwa watoto wadogo wanaohitaji kula na kwenda shule, kingekuwa chanzo cha kuamua kwenda kufanya kazi hatarishi ikiwemo kujiuza mwili wake. Hata hivyo, kwa Esther Akoth Kokeyo anayejulikana kwa jina la muziki kama Akothee, hali ilikuwa tofauti. “Nilipopata talaka niliona maisha yamenikatikia,” Akothee aliambia […]
10 years ago
Vijimambo
TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA

Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania