Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matapeli nyumba za kupanga watokomezwe

Jana tulichapisha habari ya kuwapo mtandao wa matapeli wa nyumba za kupanga jijini Dar es Salaam. Matapeli hao wanajifanya madalali wa nyumba na viwanja, ambao wanatumia matangazo na namba za simu wanazoweka magazetini kuwanasa watu kwa urahisi. Ni mtandao ambao hakika umenasa watu wengi ambao wameingizwa katika mitego yake pasipo kujua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Karaha za kupanga nyumba Dar

>Karibu nusu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanaishi katika nyumba za kupanga ambazo pamoja na kuwa ni chanzo cha mapato kwa wanaozimiliki, kwa upande mwingine ni karaha kwa wapangaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Utapeli wa nyumba za kupanga waibuka

Umeibuka mtandao wa matapeli jijini hapa wanaojifanya madalali wa nyumba na viwanja, ambao wanatumia matangazo na namba za simu wanazoziweka magazetini kuwanasa watu kwa urahisi.

 

11 years ago

Michuzi

NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka

NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka sana.  Sifa zake ni vyumba viwili na sebule kimoja. Chumba kimoja kiwe masta. Ama chumba kimoja Masta na sebule Nyumba iwe kati ya Wilolesi , Lugalo, Kihesa , Gangilonga , Ilala , Makorongoni ama Mshindo   Kodi yake isizidi zaidi ya 150,000 kwa mwezi mteja anataka kulipa kodi ya miezi mitatu kwa mara moja.    Angalizo: hatuhitaji dalali tunataka mwenye nyumba mwenyewe kuwasiliana nasi.    kama una nyumba ...

 

10 years ago

GPL

SHITUKA WEWE! UTAISHI KWENYE NYUMBA YA KUPANGA MPAKA LINI?

Maisha siku zote ni kuwa na malengo, namaanisha malengo ya muda mfupi na yale ya muda mrefu. Kwamba unaishi huku ukijua mwaka huu utafanya jambo flani na mwaka kesho utafanya jambo flani.
Cha ajabu sasa wapo watu ambao hawana malengo yoyote, wanaishi ili mradi siku zinakwenda. Hili ni tatizo na ukijaribu kufuatilia utagundua wote wanaoishi bila malengo wana maisha magumu na wameridhika nayo. Yaani hawajui kesho yao itakuwaje na...

 

11 years ago

Michuzi

KUPANGA MIJI SIO KUKATA VIWANJA,AFAGILIA UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA-PROF.TIBAIJUKA

 Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mh.Prof Anna Tibaijuka akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wadau mbalimbali kwenye jukwaa la Uwekezaji katika Sekta ya Nyumba.Prof.Tibaijuka alisema kuwa Serikali inaridhishwa na utendaji unaofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Alisema katika kipindi kifupi Shirika limefanya mageuzi makubwa kwenye sekta ya makazi na kwamba miradi hiyo itakapokamilika,itaifanya miji hiyo kuwa ya...

 

11 years ago

Bongo5

Akothee: Msanii wa Kenya aliyepitia udereva ma3/taxi hadi kumiliki kampuni ya tour na nyumba za kupanga (Video)

Kwa msichana mwingine, kuachwa na mume aliyekuwa akimtegemea kwa kila kitu na kuachiwa watoto wadogo wanaohitaji kula na kwenda shule, kingekuwa chanzo cha kuamua kwenda kufanya kazi hatarishi ikiwemo kujiuza mwili wake. Hata hivyo, kwa Esther Akoth Kokeyo anayejulikana kwa jina la muziki kama Akothee, hali ilikuwa tofauti. “Nilipopata talaka niliona maisha yamenikatikia,” Akothee aliambia […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kupanga jinsia ya mtoto

KWA kawaida, ujauzito hukaa kwa muda wa wiki 38 kabla ya kujifungua. Lakini kutokana na ugumu wa kujua hasa ujauzito ulitunga lini, wataalamu huweka kipindi cha wiki 40 kama wastani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matapeli hawa wasakwe

MOJA ya habari zilizimo kwenye Gazeti hili leo, inazungumzia kuibuka kwa kundi la matapeli linaloliza watu mamilioni ya fedha kwa kisingizio kwamba wanaweza kuwasaidia kupata ajira katika baadhi ya idara...

 

10 years ago

Bongo Movies

Matapeli Wamlostisha Snura

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amefunguka kwa kusema kuwa mtu aliyeteka namba yake ya simu na kuitumia akiomba fedha na kuitumia kama ni yeye amemfanye apate matatizo na usumbufu usio na manufaa zaidi ya kumkera katika shughuli zake.

“Aliyenifanyia ujinga wa kuharibu namba yangu ya simu na kuanza kuitumia yeye kama mimi si siri amenitia umaskini kwa wakati ule kwani baadhi ya wateja wa kazi zangu walikuwa wakitumia kwa mawasiliano na mimi, lakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani