Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka

NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka sana.  Sifa zake ni vyumba viwili na sebule kimoja. Chumba kimoja kiwe masta. Ama chumba kimoja Masta na sebule Nyumba iwe kati ya Wilolesi , Lugalo, Kihesa , Gangilonga , Ilala , Makorongoni ama Mshindo   Kodi yake isizidi zaidi ya 150,000 kwa mwezi mteja anataka kulipa kodi ya miezi mitatu kwa mara moja.    Angalizo: hatuhitaji dalali tunataka mwenye nyumba mwenyewe kuwasiliana nasi.    kama una nyumba ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utapeli wa nyumba za kupanga waibuka

Umeibuka mtandao wa matapeli jijini hapa wanaojifanya madalali wa nyumba na viwanja, ambao wanatumia matangazo na namba za simu wanazoziweka magazetini kuwanasa watu kwa urahisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Karaha za kupanga nyumba Dar

>Karibu nusu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanaishi katika nyumba za kupanga ambazo pamoja na kuwa ni chanzo cha mapato kwa wanaozimiliki, kwa upande mwingine ni karaha kwa wapangaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Matapeli nyumba za kupanga watokomezwe

Jana tulichapisha habari ya kuwapo mtandao wa matapeli wa nyumba za kupanga jijini Dar es Salaam. Matapeli hao wanajifanya madalali wa nyumba na viwanja, ambao wanatumia matangazo na namba za simu wanazoweka magazetini kuwanasa watu kwa urahisi. Ni mtandao ambao hakika umenasa watu wengi ambao wameingizwa katika mitego yake pasipo kujua.

 

10 years ago

GPL

SHITUKA WEWE! UTAISHI KWENYE NYUMBA YA KUPANGA MPAKA LINI?

Maisha siku zote ni kuwa na malengo, namaanisha malengo ya muda mfupi na yale ya muda mrefu. Kwamba unaishi huku ukijua mwaka huu utafanya jambo flani na mwaka kesho utafanya jambo flani.
Cha ajabu sasa wapo watu ambao hawana malengo yoyote, wanaishi ili mradi siku zinakwenda. Hili ni tatizo na ukijaribu kufuatilia utagundua wote wanaoishi bila malengo wana maisha magumu na wameridhika nayo. Yaani hawajui kesho yao itakuwaje na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki

20150123_123538

MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma  kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea  ubunge katika jimbo la Iringa mjini.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa,  wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.

Msanii huyo Richard Kayombo  ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...

 

10 years ago

Michuzi

Mamia ya wana Iringa waendelea kumchangia Mwanahabari Kibiki achukue fomu ya Ubunge Iringa mjini

Na Fredy Mgunda,Iringa
 WAKATI joto la uchaguzi likiendelea kupanda katika jimbo la Iringa mjini, mamia ya vijana, wanawake, walemavu  na wazee katika jimbo hilo wanaendelea kuchangishana fedha ili kumuwezesha mwanahabari Frank Kibiki kuchukua fomu ya kuomba ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM, kwenye jimbo hilo.Zoezi hilo linaloendeshwa na baadhi ya vijana waliomtaka Kibiki ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM taifa, kutotoa rushwa badala yake atumie hoja kuelezea sera zake, walisema...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WA CCM IRINGA WAMPA NGUVU KATIBU WA MKOA HASSAN MTENGA KUKOMBOA JIMBO, LA IRINGA MJINI

Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga katika kikao na baadhi ya vijana hao











KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.


CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayekaribia kumaliza muda wake.


Katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ASABABISHA MAFURIKO IRINGA MJINI,WANANCHI WAAHIDI KUMCHAGUA MWAKALEBELA KWA USTAWI WA IRINGA

hhhhhaMwigulu Nchemba na Mwakalebela wakiwa kwenye Gari ya wazi wakielekea Uwanja wa Mwembetogwa hapa Iringa Mjini tayari kwa uzinduzi wa kampeni za Ubunge.Mwigulu Nchemba akiingia na Gari la wazi kwenye Viwanja vya Mwembetogwa hapa Iringa Mjini kwaajili ya Kumnadi Mwakalebela anayepeperusha Bendera ya Chama Cha Mapinduzi kwenye nafasi ya Ubunge.Mwigulu Nchemba ambaye yumo kwenye kikosi cha Timu ya Ushindi ya CCM,hapa akiwasili Viwanja vya Mwembetogwa kwaajili ya kuzindua Rasmi kampeni za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani