Matapeli hawa wasakwe
MOJA ya habari zilizimo kwenye Gazeti hili leo, inazungumzia kuibuka kwa kundi la matapeli linaloliza watu mamilioni ya fedha kwa kisingizio kwamba wanaweza kuwasaidia kupata ajira katika baadhi ya idara...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies22 May
JB Atoa Tahadhari Kuhusu ya Matapeli Hawa
Tahadhari: kuna watu wametengeneza akaunti feki yenye picha zangu.na wanasema kwamba Jerusalem inahitaji wasanii wapya.na wanawapigia simu watu huku wakiwatoza kiasi cha tsh 45000 hadi laki kama ada ya kujiandikisha.watu hawa ni matapeli.na wamechukua hela nyingi kwa watu.jamani hatuna utaratibu huo na usikubali kutoa pesa...Fb watu wanaitumia vibaya sana..
By:JB on Instagram
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Vinara wa mabomu wasakwe
WIKI hii, vyombo vingi vya habari viliwataliwa na taarifa kuhusu kukutwa kwa mabomu yaliyotegwa katika maeneo mbalimbali nchini. Tulianza kusikia taarifa za kukutwa kwa mabomu visiwani Zanzibar katika eneo la...
10 years ago
Uhuru Newspaper28 Aug
Wataka wadaiwa sugu wasakwe
Na Ahmed Makongo, Bunda
WADAU wa pamba katika wilaya ya Bunda, wamepitisha azimio la kuwasaka wakulima wanaodaiwa na kampuni zinazonunua zao hilo na kuwekeza katika kilimo cha mkataba wilayani hapa.
Azimio hilo lilipitishwa jana baada ya wadau hao kubaini kwamba wakulima wengi waliokopeshwa pembejeo na dawa za kunyunyizia pamba wilayani hapa, wanadaiwa mamilioni ya fedha.
Wadau hao wakiongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda, Demunicus Lusasi, walipitisha azimio hilo katika kikao...
11 years ago
Habarileo16 Jun
JK aagiza waliolipua bomu wasakwe
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwafikisha mbele ya vyombo vya haki watu wote waliohusika katika ulipuaji bomu lililosababisha kifo na kujeruhi watu saba mjini Unguja, Zanzibar.
10 years ago
Habarileo03 Mar
Kikwete: Wauaji wa albino wasakwe
RAIS Jakaya Kikwete amezungumzia hali ya usalama wa nchi, ikiwemo uvamizi wa vituo vya Polisi, uporaji wa silaha ulioambatana na vifo vya askari na kusema matukio hayo, baadhi yake yana dalili za ugaidi.
10 years ago
Habarileo24 Feb
UVCCM yataka wanaoua albino wasakwe kila kona
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Lindi limeitaka Serikali kuendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuhusika na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini.
5 years ago
CCM BlogVISHOKA UHAMIAJI WAMCHEFUA WAZIRI SIMBACHAWENE, WASAKWE POPOTE WALIPO
5 years ago
MichuziVISHOKA UHAMIAJI ‘WAMCHEFUA’ WAZIRI SIMBACHAWENE, AAGIZA WASAKWE POPOTE WALIPO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Idara hilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka Watendaji hao wawakikishe wanawakamata mawakala wa huduma za Uhamiaji (Vishoka), ambao wanawatapeli wananchi wakijitambulisha ni maafisa uhamiaji katika maeneo mbalimbali nchini. Pia aliwataka viongozi hao kutenda haki katika mchakato wa utoaji wa uraia. Picha na Wizara...
10 years ago
Bongo Movies08 May
Matapeli Wamlostisha Snura
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amefunguka kwa kusema kuwa mtu aliyeteka namba yake ya simu na kuitumia akiomba fedha na kuitumia kama ni yeye amemfanye apate matatizo na usumbufu usio na manufaa zaidi ya kumkera katika shughuli zake.
“Aliyenifanyia ujinga wa kuharibu namba yangu ya simu na kuanza kuitumia yeye kama mimi si siri amenitia umaskini kwa wakati ule kwani baadhi ya wateja wa kazi zangu walikuwa wakitumia kwa mawasiliano na mimi, lakini...