Vinara wa mabomu wasakwe
WIKI hii, vyombo vingi vya habari viliwataliwa na taarifa kuhusu kukutwa kwa mabomu yaliyotegwa katika maeneo mbalimbali nchini. Tulianza kusikia taarifa za kukutwa kwa mabomu visiwani Zanzibar katika eneo la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper24 Jun
Vinara wa tindikali, mabomu mbaroni
NA MWANDISHI WETU
MTANDAO hatari wa uhalifu unaohusishwa na kuwamwagia watu tindikali na ulipuaji mabomu, umetiwa mbaroni mjini Zanzibar.
Habari za kuaminika zimesema watuhumiwa saba ambao wanatajwa kuwa vinara wa matukio hayo, walitiwa mbaroni juzi baada ya kufuatiliwa nyendo zao kwa muda mrefu.
Kabla ya kukamatwa, inadaiwa mtandao huo ulipanga kufanya tukio lingine la kihalifu visiwani humo na kwamba polisi walifanikiwa kunasa mawasiliano hatari ya washirika wa mtandao huo.
Chanzo chetu...
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Matapeli hawa wasakwe
MOJA ya habari zilizimo kwenye Gazeti hili leo, inazungumzia kuibuka kwa kundi la matapeli linaloliza watu mamilioni ya fedha kwa kisingizio kwamba wanaweza kuwasaidia kupata ajira katika baadhi ya idara...
10 years ago
Uhuru Newspaper28 Aug
Wataka wadaiwa sugu wasakwe
Na Ahmed Makongo, Bunda
WADAU wa pamba katika wilaya ya Bunda, wamepitisha azimio la kuwasaka wakulima wanaodaiwa na kampuni zinazonunua zao hilo na kuwekeza katika kilimo cha mkataba wilayani hapa.
Azimio hilo lilipitishwa jana baada ya wadau hao kubaini kwamba wakulima wengi waliokopeshwa pembejeo na dawa za kunyunyizia pamba wilayani hapa, wanadaiwa mamilioni ya fedha.
Wadau hao wakiongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda, Demunicus Lusasi, walipitisha azimio hilo katika kikao...
10 years ago
Habarileo03 Mar
Kikwete: Wauaji wa albino wasakwe
RAIS Jakaya Kikwete amezungumzia hali ya usalama wa nchi, ikiwemo uvamizi wa vituo vya Polisi, uporaji wa silaha ulioambatana na vifo vya askari na kusema matukio hayo, baadhi yake yana dalili za ugaidi.
11 years ago
Habarileo16 Jun
JK aagiza waliolipua bomu wasakwe
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwafikisha mbele ya vyombo vya haki watu wote waliohusika katika ulipuaji bomu lililosababisha kifo na kujeruhi watu saba mjini Unguja, Zanzibar.
10 years ago
Habarileo24 Feb
UVCCM yataka wanaoua albino wasakwe kila kona
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Lindi limeitaka Serikali kuendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuhusika na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-NCdG222ZQWc/XlEmkrAMplI/AAAAAAAAvVQ/Ubr-mpgk7a0MI4bt4pSrzVbS4VK2yE-tACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
VISHOKA UHAMIAJI WAMCHEFUA WAZIRI SIMBACHAWENE, WASAKWE POPOTE WALIPO
![](https://1.bp.blogspot.com/-NCdG222ZQWc/XlEmkrAMplI/AAAAAAAAvVQ/Ubr-mpgk7a0MI4bt4pSrzVbS4VK2yE-tACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QlxtefsWj_c/XlFHH3MBIMI/AAAAAAALe1c/R3AzGTPkVI0x_8ZIY8UuYLYyoPpVxkpuwCLcBGAsYHQ/s72-c/4c99584c-f093-41fc-a362-5005982cb182.jpg)
VISHOKA UHAMIAJI ‘WAMCHEFUA’ WAZIRI SIMBACHAWENE, AAGIZA WASAKWE POPOTE WALIPO
![](https://1.bp.blogspot.com/-QlxtefsWj_c/XlFHH3MBIMI/AAAAAAALe1c/R3AzGTPkVI0x_8ZIY8UuYLYyoPpVxkpuwCLcBGAsYHQ/s640/4c99584c-f093-41fc-a362-5005982cb182.jpg)
11 years ago
BBCSwahili24 Feb
Al-Ahly vinara wa makombe