Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Al-Ahly vinara wa makombe

Al-Ahly ya Misri imeandikisha rekodi ya kutwaa makombe 19 ya kimataifa na kuipiku AC Milan ya Italia yenye makombe 18

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Bayern yazidi kujitwalia makombe 2013

Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich ni mabingwa wa dunia baada ya kuicharaza Raja Casablanca ya Morocco.

 

5 years ago

Michuzi

Muhimbili-Upanga yanyakua makombe 2, Mloganzila yajipatia 1





Mkurugenzi wa Huduma za Tiba katika Hospitali ya Taifa (MNH), Dkt. Hedwiga Swai akikabidhi kombe kwakiongozi wa timu ya mpira wa pete, Bi. Kuruthumu Kudra
baada ya timu ya MNH kuichabanga timu ya Muhimbili-Mloganzila mabao 16-11. Kushoto ni Kaimu NaibuMkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili-Mloganzila, Dkt. Julieth
Magandi.Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vinara wa mabomu wasakwe

WIKI hii, vyombo vingi vya habari viliwataliwa na taarifa kuhusu kukutwa kwa mabomu yaliyotegwa katika maeneo mbalimbali nchini. Tulianza kusikia taarifa za kukutwa kwa mabomu visiwani Zanzibar katika eneo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge vinara wa utoro

Mwenyekiti wa bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amewanyooshea kidole wabunge wa Bunge la Muungano kwamba wanaongoza kwa utoro kwenye vikao vya kamati.

 

10 years ago

Habarileo

Vinara wa maandamano UDOM watimuliwa

WANAFUNZI watatu ambao wanatuhumiwa kuwa vinara wa maandamano ya wanafunzi wa programu maalumu ya walimu wa sayansi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wameachishwa masomo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vinara La Liga waambulia vipigo

Timu vinara wa ligi kuu ya Hispania za Barcelona na Real Madrid zimeambulia vipigo katika mechi zao za mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahakama vinara kubana taarifa

TAASISI ya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), imeitunuku tuzo ya ufunguo wa dhahabu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), kwa kutoa taarifa kwa umma huku Idara ya Mahakama ikitunukiwa tuzo...

 

10 years ago

Mwananchi

Ubutu watesa wafungaji vinara

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikifikia raundi ya tano, washambuliaji walioshika nafasi tano bora kwa ufungaji msimu uliopita, wamekosa shabaha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani