Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bayern yazidi kujitwalia makombe 2013

Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich ni mabingwa wa dunia baada ya kuicharaza Raja Casablanca ya Morocco.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Al-Ahly vinara wa makombe

Al-Ahly ya Misri imeandikisha rekodi ya kutwaa makombe 19 ya kimataifa na kuipiku AC Milan ya Italia yenye makombe 18

 

5 years ago

Michuzi

Muhimbili-Upanga yanyakua makombe 2, Mloganzila yajipatia 1





Mkurugenzi wa Huduma za Tiba katika Hospitali ya Taifa (MNH), Dkt. Hedwiga Swai akikabidhi kombe kwakiongozi wa timu ya mpira wa pete, Bi. Kuruthumu Kudra
baada ya timu ya MNH kuichabanga timu ya Muhimbili-Mloganzila mabao 16-11. Kushoto ni Kaimu NaibuMkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili-Mloganzila, Dkt. Julieth
Magandi.Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu...

 

11 years ago

Mwananchi

Bayern, Real hapatoshi

>Mabingwa watetezi Bayern Munich leo watakuwa na kazi kubwa ya kuhakikisha inaichapa Real Madrid wakiwa kwenye uwanja wa wake wa nyumbani ili kujihakikishia kubaki katika mashindano hayo ya  Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

10 years ago

BBC

FC Augsburg 0-4 Bayern Munich

Morocco's Mehdi Benatia scores as Bayern Munich beat Augsburg to go 10 points clear at the top of the Bundesliga.

 

11 years ago

BBCSwahili

Manchester 1-1 Bayern Munich

Man Untd ilihimili gonga gonga ya Bayern Munich na kutoka sare ya1-1 katika robo fainali ya ligi ya mabingwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Bayern yaisambaratisha Dortmund

>Mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski anakuwa mchezaji wa pili wa kiwango cha juu kutoka Borussia Dortmund na kujiunga na mahasimu wao Bayern Munich katika kipindi kifupi baada ya kusaini mkataba Jumamosi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Barca, Bayern zapeta

Barca, Bayern zapeta Arsenal, Chelsea chali

 

11 years ago

GPL

LIVE: BAYERN MUNICH 1, ARSENAL 1

Wafungaji: Bastian Schweinsteiger(Bayern München),Lukas Podolski (Arsenal) Champions League: Bayern v Arsenal - Lineups Bayern Munich: 1-Manuel Neuer; 21-Philipp Lahm, 4-Dante, 8-Javi Martinez, 27-David Alaba; 6-Thiago Alcantara, 31-Bastian Schweinsteiger; 10-Arjen Robben, 19-Mario Goetze, 7-Franck Ribery; 9-Mario Mandzukic…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani