Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bayern, Real hapatoshi

>Mabingwa watetezi Bayern Munich leo watakuwa na kazi kubwa ya kuhakikisha inaichapa Real Madrid wakiwa kwenye uwanja wa wake wa nyumbani ili kujihakikishia kubaki katika mashindano hayo ya  Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Man City kwa Barca, Arsenal kwa Bayern hapatoshi Ulaya

Manchester City watakuwa na kibarua kizito mbele ya Barcelona katika  mechi za mtoano hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Chelsea v Atletico, Real v Bayern

Mabingwa watetezi Bayern Munich watawavaa mabingwa mara tisa Real Madrid wakati Chelsea wataivaa Atletico Madrid kwa mujibu wa ratiba ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa iliyopangwa jana.

 

11 years ago

GPL

REAL MADRID YAILAZA BAYERN MUNICH

Karim Benzema (kushoto) akiifungia Real Madrid bao pekee. Kulia ni mchezaji wa Bayern Munich,  David Alaba. Wachezaji wa Madrid, Pepe (kushoto) na Sergio Ramos (katikati) wakiondosha hatari langoni mwao.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yakomoa Bayern Munich 1 - 0

Japo ni kwa ushindi finyu wa bao 1 bila - Real Madrid wamejiwekea akiba nzuri kibindoni na ndiyo watashindia Champions League.

 

11 years ago

GPL

REAL MADRID YAITANDIKA BAYERN MUNICH

Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia moja ya bao lao baada ya kuifua Bayern Munich katika  Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa nyumbani kwao, Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani…

 

5 years ago

NBCSports.Com

Key battles: Chelsea v. Bayern; Real Madrid v. Man City

Key battles: Chelsea v. Bayern; Real Madrid v. Man City  NBCSports.comUEFA Champions League Round of 16 Tues/Wed Live Chat  Never Manage AloneChampions League top scorers 2019-20: Haaland & Lewandowski lead the way  Goal.comSterling fit to face Real Madrid as Guardiola laments loss of Hazard for Champions League tie  BeSoccer ENMinimum Points Needed for Champions League Qualification & Premier League Survival  90minView Full coverage on Google...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani