Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Man City kwa Barca, Arsenal kwa Bayern hapatoshi Ulaya

Manchester City watakuwa na kibarua kizito mbele ya Barcelona katika  mechi za mtoano hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Man Utd yapeta, Arsenal kwa Bayern

Arsenal imetupwa kwa Bayern Munich wakati Manchester United ikipewa vibonde katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa, huku Lionel Messi akitwaa tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa Ulaya.

 

10 years ago

Mwananchi

Man City wapewa Barca 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya

Nyon, Uswisi. Droo ya hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imepangwa jana huku Manchester City wakikutana na Barcelona.

 

10 years ago

GPL

JISHINDIE MUDA WA MAONGEZI WA SH. 10,000 KWA KUTABIRI MATOKEO YA MAN CITY VS ARSENAL LEO

Tabiri matokeo ya mechi ya Ligi Kuu England leo kati ya Manchester City na Arsenal itakayopigwa saa 1 usiku kwenye Uwanja wa Etihad, Manchester City. Mtu wa kwanza kutabiri matokeo ya mchezo huo atajishindia muda wa maongezi wa shilingi 10,000 . Jinsi ya kushiriki: Ingia katika ukurasa wetu wa FACEBOOK…

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal wapewa Barca ligi ya mabingwa Ulaya

Arsenal ya Uingereza imepangwa na Barcelona ya Uhispania kwenye hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

11 years ago

GPL

ARSENAL HOI KWA BAYERN

Wojciech Szczesny akijaribu kumzuia Arjen Robben bila mafanikio. Kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny…

 

11 years ago

Mwananchi

Man United kwa Bayern, Chelsea kwa PSG

>Manchester United wametupwa kwa mabingwa watetezi  Bayern Munich katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa, huku Chelsea wakipangwa na Paris St-Germain.

 

11 years ago

Mwananchi

Man United, Barca zapigwa chini Ulaya

Bayern Munich na Atletico Madrid zimetinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kushinda mechi zao za marudiano za robo fainali zilizochezwa jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Man City: Barca ilibebwa

Kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini amesema mwamuzi Jonas Ericksson wa Sweden aliipendelea Barcelona na ndiyo maana iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye uwanja wa Etihad juzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Barca yashinda, Man City yafa

Hispania. Barcelona imeanza vizuri msimu mpya wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Apoel Nicosia, katika mchezo uliochezwa juzi usiku kwenye Uwanja wa Nou Camp.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani