Man United, Barca zapigwa chini Ulaya
Bayern Munich na Atletico Madrid zimetinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kushinda mechi zao za marudiano za robo fainali zilizochezwa jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Man United kuzikabili Barca na Psg
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Man City wapewa Barca 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Man City kwa Barca, Arsenal kwa Bayern hapatoshi Ulaya
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Man United, City zang'aa Ulaya
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal ….
Kila mpenda soka anasubiria kuona mwaka 2015 utamalizikaje kwa kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal kuendelea kuwa Man United, Kwani Van Gaal kwa sasa anahusishwa kufukuzwa kazi wakati wowote. Mengi yanachochea uvumi huo kuwa upo karibu kutimia, ukizingatia mtendaji mkuu wa Man United yupo kimya kwa muda mrefu bila kutoa kauli yoyote. Wazungu […]
The post Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal …. appeared first on...
9 years ago
Habarileo07 Jan
Nauli za DART zapigwa chini
SERIKALI imekataa viwango vya nauli mpya vilivyopendekezwa na Kampuni ya Uda Rapid Transit (UDA-RT), itakayotoa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam. Pamoja na kukataa imeweka bayana kuwa viwango hivyo viko juu ambavyo wananchi wengi watashindwa kuvimudu.
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Barca mabingwa wa Ulaya
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Arsenal wapewa Barca ligi ya mabingwa Ulaya
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Man City: Barca ilibebwa