Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JISHINDIE MUDA WA MAONGEZI WA SH. 10,000 KWA KUTABIRI MATOKEO YA MAN CITY VS ARSENAL LEO

Tabiri matokeo ya mechi ya Ligi Kuu England leo kati ya Manchester City na Arsenal itakayopigwa saa 1 usiku kwenye Uwanja wa Etihad, Manchester City. Mtu wa kwanza kutabiri matokeo ya mchezo huo atajishindia muda wa maongezi wa shilingi 10,000 . Jinsi ya kushiriki: Ingia katika ukurasa wetu wa FACEBOOK…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JISHINDIE MUDA WA MAONGEZI WA TSH 5,000/= KWA KUTABIRI MATOKEO YA YANGA NA MBEYA CITY

Wapendwa wasomaji wetu kuzidi kuonesha jinsi tunavyowajali leo tunatoa muda wa maongezi wa Tsh 5,000/= kwa atakayetabiri sahihi matokeo ya mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Mbeya City mechi itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Dar. Ili kujishindia muda huo wa maongezi, LIKE ukurasa wetu wa facebook na utoe utabiri wako===>>https://www.facebook.com/Globalpublishers ...

 

11 years ago

GPL

JISHINDIE MUDA WA MAONGEZI WA SHILINGI 5,000 KWA KUTABIRI MECHI YA CHELSEA, ARSENAL

Kutabiri tembelea page yetu ya facebook ==> www.facebook.com/Globalpublishers MWISHO WA KUTUMA MATOKEO NI SAA 9:40 ALASIRI

 

11 years ago

Mwananchi

Man City kwa Barca, Arsenal kwa Bayern hapatoshi Ulaya

Manchester City watakuwa na kibarua kizito mbele ya Barcelona katika  mechi za mtoano hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa.

 

9 years ago

MillardAyo

Leicester City wameidhibiti Man City ndani ya dimba la King Power, haya ndio matokeo (+Pichaz)

Ligi Kuu soka Uingereza imeendelea tena usiku wa December 29 kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la King Power, mchezo wa December 29 ulikuwa unazihusisha klabu za Leicester City dhidi ya klabu ya Manchester City. Uzuri wa mchezo huu ni kuwa vilabu vyote viwili vipo katika mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu kutokana na […]

The post Leicester City wameidhibiti Man City ndani ya dimba la King Power, haya ndio matokeo (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

FT: MAN CITY 6 - 3 ARSENAL

Wafungaji wa Manchester City Sergio Agüero 14' , Álvaro Negredo 39', Fernandinho 50',  David Silva 66' , Fernandinho 88 Mfungaji wa Arsenal ni Theo Walcott 31',  63' na Mertesacker 90' LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA >> GLOBAL PUBLISHERS

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal wabwagwa na Man City 6-3

Manchester City, wametoa ujumbe mkali kwa mahasimu wao kwenye ligi ya Premier Arsenal baada ya kuwacharaza mabao sita kwa matatu.

 

11 years ago

Mwananchi

Man City yaichakaza Arsenal

England. Manchester City imepunguza kasi ya Arsenal katika kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya soka England baada ya kuichapa mabao 6-3.

 

10 years ago

Mwananchi

Arsenal, Man City kikaangoni

England inaweza kukosa mwakilishi kwa mara ya pili ndani ya miaka mitatu katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kama Arsenal na Manchester City watashindwa kulipa kisasi katika michezo yao ya leo na kesho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani