Leicester City wameidhibiti Man City ndani ya dimba la King Power, haya ndio matokeo (+Pichaz)
Ligi Kuu soka Uingereza imeendelea tena usiku wa December 29 kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la King Power, mchezo wa December 29 ulikuwa unazihusisha klabu za Leicester City dhidi ya klabu ya Manchester City. Uzuri wa mchezo huu ni kuwa vilabu vyote viwili vipo katika mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu kutokana na […]
The post Leicester City wameidhibiti Man City ndani ya dimba la King Power, haya ndio matokeo (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Arsenal yaifunga Man City katika dimba la Emirates, Mesut Ozil kaendeleza rekodi yake (+Pichaz&Video)
Ligi Kuu Uingereza imeendelea usiku wa December 21 kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la Emirates, Arsenal waliikaribisha Manchester City katika dimba hilo. Huu ndio mchezo uliokuwa unavutia zaidi kuliko mechi zote za Uingereza zilizopigwa weekend ya December 19 na 20. Mvuto wa mchezo huu unakuja kutokana na timu zote kuwa katika nafasi tatu za juu, hivyo […]
The post Arsenal yaifunga Man City katika dimba la Emirates, Mesut Ozil kaendeleza rekodi yake (+Pichaz&Video) appeared first on...
9 years ago
BBCSwahili30 Dec
Man City, Leicester City hakuna mbabe
5 years ago
The Sportsman10 Mar
Villa Beware! Leicester City's Reinvigorated Iheanacho Is A Man On A Mission
5 years ago
Manchester Evening News23 Feb
The standout Gabriel Jesus stat from Man City matchwinner at Leicester
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26
Ligi Kuu soka Tanzania imeendelea uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kwa Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Dar Es Salaam Young Africans kuwakaribisha wagonga nyundo wa jiji la Mbeya klabu ya Mbeya City. Huu ni mchezo wa 13 kwa klabu ya Yanga ambao ndio wapo kileleni mwa msimamo wa Ligi. Yanga ambao ndio wanatajwa kuwa […]
The post Yanga waendeleza ubabe wao dhidi ya Mbeya City, cheki pichaz na matokeo ya mechi za Ligi Kuu TZ Dec 26 appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo17 Dec
TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola..
Kabla siku haijaisha mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee stori 5 za soka zilizoingia katika headlines siku ya December 17, kuna mengi yamezungumzwa katika stori za soka December 17 ikiwemo stori za kufukuzwa kwa mara ya pili kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho. Hizi ndio TOP 5 ya stori za soka December 17. […]
The post TOP 5 Stori: Huyu ndio mrithi wa Mourinho Chelsea, Man United na Lewandowski? Man City na mipango ya Guardiola.. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/92FD/production/_85892673_leicester-celebrate.jpg)
Norwich City 1-2 Leicester City
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Man City ndio wenye nguvu zaidi - Pellegrini
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Kwa kipigo cha Stoke City, huenda siku za Van Gaal Man United zikawa zinahesabika … (+Pichaz&Video)
Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena leo December 26 siku ya Boxing Day kwa michezo 10 ila mchezo wa awali ulikuwa kati ya Stoke City dhidi ya Manchester United katika dimba la Britannia lenye uwezo wa kubeba zaidi ya mashabiki 27000 kwa mara moja. Huu ni mchezo wa 18 kwa timu zote mbili ila unatajwa kuwa […]
The post Kwa kipigo cha Stoke City, huenda siku za Van Gaal Man United zikawa zinahesabika … (+Pichaz&Video) appeared first on TZA_MillardAyo.