Vinara wa tindikali, mabomu mbaroni
NA MWANDISHI WETU
MTANDAO hatari wa uhalifu unaohusishwa na kuwamwagia watu tindikali na ulipuaji mabomu, umetiwa mbaroni mjini Zanzibar.
Habari za kuaminika zimesema watuhumiwa saba ambao wanatajwa kuwa vinara wa matukio hayo, walitiwa mbaroni juzi baada ya kufuatiliwa nyendo zao kwa muda mrefu.
Kabla ya kukamatwa, inadaiwa mtandao huo ulipanga kufanya tukio lingine la kihalifu visiwani humo na kwamba polisi walifanikiwa kunasa mawasiliano hatari ya washirika wa mtandao huo.
Chanzo chetu...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Vinara wa mabomu wasakwe
WIKI hii, vyombo vingi vya habari viliwataliwa na taarifa kuhusu kukutwa kwa mabomu yaliyotegwa katika maeneo mbalimbali nchini. Tulianza kusikia taarifa za kukutwa kwa mabomu visiwani Zanzibar katika eneo la...
11 years ago
Habarileo15 Jul
Mtuhumiwa wa tindikali mbaroni
MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni , Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
11 years ago
Uhuru Newspaper15 Jul
Mtuhimiwa mtandao wa tindikali mbaroni
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBARJESHI la Polisi Zanzibar limemtia mbaroni mtuhumiwa wa mtandao wa tindikali, Alawi Mohammed Silima.Ofisa Habari Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohammed Mhina, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa jana na makachero wa polisi.Alisema Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne nje kidogo ya mji wa Zanzibar, anahusishwa na tukio la kummwagia tindikali Sheha wa Shehia ya Tomondo, Mohammed Omar Said.Mhina alisema mtuhumiwa huyo aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu, alikamatwa...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Vinara Mbwa Mwitu, Panya Road mbaroni
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata viongozi sita wa makundi ya uhalifu maarufu kwa majina ya Mbwa Mwitu na Panya Road. Akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Mabomu saba yakamatwa Arusha, 25 watiwa mbaroni
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Sheikh amwagiwa tindikali
IMAMU wa Msikiti wa Sawiyatu Qadiria, Hassan Bashir (33) amejeruhiwa vibaya usoni na sehemu ya bega la kushoto baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali. Akizungumza na Tanzania Daima...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Mtuhumiwa tindikali Zanzibar anaswa
MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mmoja wa washukiwa wa matukio ya tindikali visiwani hapa, Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya mji...
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Sheikh amwagiwa tindikali Arusha
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Sheikh amwagiwa tindikali Songea