Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtuhumiwa wa tindikali mbaroni

MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni , Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa tindikali Zanzibar anaswa

MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mmoja wa washukiwa wa matukio ya tindikali visiwani hapa, Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya mji...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vinara wa tindikali, mabomu mbaroni


NA MWANDISHI WETU
MTANDAO hatari wa uhalifu unaohusishwa na kuwamwagia watu tindikali na ulipuaji mabomu, umetiwa mbaroni mjini Zanzibar.
Habari za kuaminika zimesema watuhumiwa saba ambao wanatajwa kuwa vinara wa matukio hayo, walitiwa mbaroni juzi baada ya kufuatiliwa nyendo zao kwa muda mrefu.
Kabla ya kukamatwa, inadaiwa mtandao huo ulipanga kufanya tukio lingine la kihalifu visiwani humo na kwamba polisi walifanikiwa kunasa  mawasiliano hatari ya washirika wa mtandao huo.
Chanzo chetu...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mtuhimiwa mtandao wa tindikali mbaroni


NA MWANDISHI WETU, ZANZIBARJESHI la Polisi Zanzibar limemtia mbaroni mtuhumiwa wa mtandao wa tindikali, Alawi Mohammed Silima.Ofisa Habari Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohammed Mhina, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa jana na makachero wa polisi.Alisema Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne nje kidogo ya mji wa Zanzibar, anahusishwa na tukio la kummwagia tindikali Sheha wa Shehia ya Tomondo, Mohammed Omar Said.Mhina alisema mtuhumiwa huyo aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu, alikamatwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa wa ubakaji atiwa mbaroni

JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Michael William maarufu (Michael dada), mkazi wa Kiluvya, wilayani Kisarawe anayetuhumiwa kuhusika na matukio ya ubakaji wa vikongwe mkoani hapa. Akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Michuzi

mtuhumiwa sugu ujambazi katika mikoa ya mwanza,shinyanga na simiyu atiwa mbaroni

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza,SACP Valentino Mlowola akiwa na makamanda wenzake SACP Charles Mkumbo (Shinyanga) na  SACP Justus Kamugisha (Simiyu) wakati wakizungumza na waandishi wa habari kufuatia kutiwa mbaroni kwa mtuhumiwa wa ujambazi ambaye pia ni mfanyabiashara aitwaye Njile Samweli (46) marufu kwa “John” wa mjini Bariadi mkoani Simiyu, aliyekuwa akifanya matukio ya uhalifu katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Singida na Tabora.Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheikh amwagiwa tindikali

IMAMU wa Msikiti wa Sawiyatu Qadiria, Hassan Bashir (33) amejeruhiwa vibaya usoni na sehemu ya bega la kushoto baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh amwagiwa tindikali Songea

Watu wasiofahamika wamemwagia tindikali, mkazi wa Kijiji cha Kitanda Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Sheikh Nasib Ally (80) na kumpofua jicho lake la kushoto.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh amwagiwa tindikali Arusha

Sheikh wa Msikiti Mkuu wa Bondeni jijini Arusha, Mustaph Mohamed Kihago (49) na mtoto wake, Halidi Mustapha (10), wamelazwa Hospitali ya Mkoa Mount Meru kwa matibabu, baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali na kuwajeruhi shingoni na usoni.

 

11 years ago

Habarileo

Mmiliki wa duka la M-Pesa amwagiwa tindikali

MKAZI wa eneo la Ghana, jijini Mwanza, Mustafa Omary (38) amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana wakati akiwa dukani kwake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani