JB Atoa Tahadhari Kuhusu ya Matapeli Hawa
Tahadhari: kuna watu wametengeneza akaunti feki yenye picha zangu.na wanasema kwamba Jerusalem inahitaji wasanii wapya.na wanawapigia simu watu huku wakiwatoza kiasi cha tsh 45000 hadi laki kama ada ya kujiandikisha.watu hawa ni matapeli.na wamechukua hela nyingi kwa watu.jamani hatuna utaratibu huo na usikubali kutoa pesa...Fb watu wanaitumia vibaya sana..
By:JB on Instagram
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Baraka Shelukindo atoa tahadhari juu ya matapeli wa mitandaoni
Dear Friends
Napenda kutoa taarifa kwamba kumekuwa na tapeli mmoja ambae amekuwa akitumia picha zangu kwa kufungua facebook accounts kwa majina mbali mbali kama Justin Stan,James Brown,Onesmo,Felister Julius, Anthony Yohana au Yohana Anthony na mengineyo mengi.
Mtu huyu amekuwa akijenga urafiki na watu wasiotambua kuwa ni TAPELI katika mtandao wa kijamii wa Facebook
Urafiki ukiwa umekamilika kwa maana ya friends request kutoka kwake and acceptance kutoka kwa victim amekuwa akiwaambia...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/unnamed-43.jpg?width=650)
BARAKA SHELUKINDO ATOA TAHADHARI JUU YA MATAPELI WA MITANDAONI
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Matapeli hawa wasakwe
MOJA ya habari zilizimo kwenye Gazeti hili leo, inazungumzia kuibuka kwa kundi la matapeli linaloliza watu mamilioni ya fedha kwa kisingizio kwamba wanaweza kuwasaidia kupata ajira katika baadhi ya idara...
11 years ago
Michuzi02 Jul
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Natasha Atoa Wito Kwa Makampuni ya Filamu Kufanya Kazi na Watoto Hawa
Staa wa Bongo Movies, Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.
Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.
Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation (SVF),...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-aHyCl85qoEI/XpNDuZiijtI/AAAAAAACJz0/qNWdxDmXDQciQK3wLpKcbYlQx6n_z-ANACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200412-WA0083.jpg)
DC TANO MWERA ATUMA UJUMBE WA PASAKA, ATOA TAHADHARI DHIDI YA CORONA BUSEGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-aHyCl85qoEI/XpNDuZiijtI/AAAAAAACJz0/qNWdxDmXDQciQK3wLpKcbYlQx6n_z-ANACLcBGAsYHQ/s320/IMG-20200412-WA0083.jpg)
MKUU wa Wilaya ya Busega iliyopo Mkoani Simiyu ametoa ujumbe wa Pasaka kwa Wananchi wote na kuhimiza wananchi kuzingatia tahadhari zinazotolewa na Wataalamu wa Afya.
"Nachukua nafasi hii kuwatakia Kheri ya Pasaka wana Busega na Watanzania wote kwa ujumla.
Tusherehekee sikukuu zetu kwa uangalifu mkubwa huku tukifata maelekezo ya Wataalam wetu wa Afya, epuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima, tuzingatie kunawa mikono kila wakati, au kutumia vitakasa mikono ( sanitizer).
"Kaa nyumbani...
9 years ago
Dewji Blog23 Sep
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar atoa tahadhari juu ya ugonjwa wa KIPINDUPINDU.
Mkurugenzi Kinga na elimu ya afya Dkt. Mohd Dahoma akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini kwake.
Mkurugenzi Kinga na elimu ya afya Dkt. Mohd Dahoma akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini kwake Wizara ya Afya juu tahadhari ya ukonjwa wa Kipindupindu hivyo amewashauri wananchi kununua chakula kilicho hifadhiwa vizuri ama chakula kimoto na kujiepusha kutumia juice zinazotengenezwa kienyeji. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar
[ZANZIBAR]....
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
UG yatoa tahadhari kuhusu Al Shabaab