Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Natasha Atoa Wito Kwa Makampuni ya Filamu Kufanya Kazi na Watoto Hawa

Staa wa Bongo Movies, Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.

Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.

Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation (SVF),...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBUNGE WA CHALINZE ATOA WITO KWA MAKAMPUNI YA MAWASILIANO KUSAMBAZA HUDUMA KWA WATEJA WAKE

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Mh. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Chalinze Mjini. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (kulia) na Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard. Hafla hiyo imefanyika leo mkoani humo.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATOA WITO KWA VIONGOZI KUFANYA MIKUTANO NA WANANCHI NA KURHUSU MASWALI YANAYOHUSU MAENDELEO YAO


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Kilolo Mnadani waliojitokeza kumlaki katika ziara yake wilayani Kilolo.

MBUNGE wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa Profesa Peter Msolla akiwasalimia wananchi wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali ya kikundi cha vijana cha Muungano ambacho kina jumla ya vijana arobaini waliopata mafunzo ya kufyatua matofali na ujenzi.

  Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.

Lorietha Laurence -Maelezo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo  ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa  kwa kupata kibali cha kuingia sokoni  kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza  katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza  kampuni ya Al-Riyamy Production  ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za  TRA...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA ATOA SOMO KWA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI 2014 KUZINGATIA MAADILI NA WELEDI

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Hajjat Amina Mrisho Said akizungumza na Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya Utafiti wa watu wenye Uwezo wa Kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara walio katika mafunzo ya siku 16 leo mjini Morogoro. Kulia Bw. Mhidini Mtindo, Mtakwimu Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya watu wenye uwezo wa kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara wakiwa kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHALINZE ATOA WITO KWA MAKAMBUNI YA MAWASILIANO KUSAMBAZA HUDUMA KWA WATEJA WAKE

Mbunge wa jimbo la Chalinze mkoani Pwani Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Chalinze mjini Mkoa humo. Katikati ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,(kulia)Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard. Hafla hiyo imefanyika leo mkoani humo.Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo Richard(kulia)akimfafanulia jambo kuhusiana na simu aina...

 

5 years ago

Michuzi

MSANII WA B0NG0 FLEVA ATOA NA WITO KWA WADAU


NA DENIS MLOWE, IRINGA
MSANII wa muziki wa bongo fleva anayekuja kwa kasi kutoka Nyanda za Juu Kusini mwenye makazi yake mkoani Iringa, Ezra Msiliova ' Eze Nice' ametoa wito kwa wadau wa muziki huo kuzipokea kwa nguvu zote nyimbo zake mbili anazotarajia kuziachia hivi karibuni.
Akizungumza na Mwanahabari, Eze Nice alisema kuwa nyimbo hizo mbili ni zawadi tosha kwa Rais John Magufuli na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Iringa, Salim Abri 'Asas' kwani amezipa majina Magufuri na...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA ATOA WITO KWA WAKULIMA KUTUMIA WATALAMU WA KILIMO

Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiwaonyesha baadhi ya wake wa viongozi zabibu zilizolimwa kwa kufuata ushauri wa watalamu wa kilimo,zilizolimwa shambani kwa Waziri Mkuu Zuzu nje kidogo ya Dodoma mjini,wakati walipotembelea ili kupata utalaamu wa kulima kilimo cha Zabibu unavyo fanywa.kutoka kushoto ni Mama Malima,Mama Mashiba na Mama Lukuvi.Mke wa Naibu Waziri wa Fedha,Mama Naima Malima akionyesha utaalamu wake wa kutumia kamera,wakati alipokuwa akimpiga picha Mke wa Waziri Mkuu,Mama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani