BARAKA SHELUKINDO ATOA TAHADHARI JUU YA MATAPELI WA MITANDAONI
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/unnamed-43.jpg?width=650)
Dear Friends, Napenda kutoa taarifa kwamba kumekuwa na tapeli mmoja ambae amekuwa akitumia picha zangu kwa kufungua facebook accounts kwa majina mbalimbali kama Justin Stan, James Brown,Onesmo,Felister Julius, Anthony Yohana au Yohana Anthony na mengineyo mengi. Mtu huyu amekuwa akijenga urafiki na watu wasiotambua kuwa ni TAPELI katika mtandao wa kijamii wa Facebook Urafiki ukiwa umekamilika kwa maana ya friends request...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Baraka Shelukindo atoa tahadhari juu ya matapeli wa mitandaoni
Dear Friends
Napenda kutoa taarifa kwamba kumekuwa na tapeli mmoja ambae amekuwa akitumia picha zangu kwa kufungua facebook accounts kwa majina mbali mbali kama Justin Stan,James Brown,Onesmo,Felister Julius, Anthony Yohana au Yohana Anthony na mengineyo mengi.
Mtu huyu amekuwa akijenga urafiki na watu wasiotambua kuwa ni TAPELI katika mtandao wa kijamii wa Facebook
Urafiki ukiwa umekamilika kwa maana ya friends request kutoka kwake and acceptance kutoka kwa victim amekuwa akiwaambia...
10 years ago
Bongo Movies22 May
JB Atoa Tahadhari Kuhusu ya Matapeli Hawa
Tahadhari: kuna watu wametengeneza akaunti feki yenye picha zangu.na wanasema kwamba Jerusalem inahitaji wasanii wapya.na wanawapigia simu watu huku wakiwatoza kiasi cha tsh 45000 hadi laki kama ada ya kujiandikisha.watu hawa ni matapeli.na wamechukua hela nyingi kwa watu.jamani hatuna utaratibu huo na usikubali kutoa pesa...Fb watu wanaitumia vibaya sana..
By:JB on Instagram
9 years ago
Dewji Blog23 Sep
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar atoa tahadhari juu ya ugonjwa wa KIPINDUPINDU.
Mkurugenzi Kinga na elimu ya afya Dkt. Mohd Dahoma akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini kwake.
Mkurugenzi Kinga na elimu ya afya Dkt. Mohd Dahoma akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini kwake Wizara ya Afya juu tahadhari ya ukonjwa wa Kipindupindu hivyo amewashauri wananchi kununua chakula kilicho hifadhiwa vizuri ama chakula kimoto na kujiepusha kutumia juice zinazotengenezwa kienyeji. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar
[ZANZIBAR]....
11 years ago
Michuzi02 Jul
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
JK atoa baraka Tamasha la Pasaka Dar
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, imesema Rais Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, lakini kutokana na kutingwa na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MjUiWVyv*JLt4zlEILCzOYUigEprQl5ND080iSeQfMi0AcL3L57qhTkpqoPI6TrByxU95zDhxqYX9QjRssuSfYdHDPBn2ULS/BARAKA.jpg?width=650)
ASHA BARAKA ATOA SOMO VIFO VYA MASTAA UGHAIBUNI!
10 years ago
Bongo Movies05 Mar
Picha: Wema Sepetu Atoa Baraka kwa tumbo la Aunty!
Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya kijamii hapa Bongo, Wema Sepetu ame-share nasi picha kadhaa akiwa na rafiki yake kipenzi, mwigizaji Aunty Ezekiel ambae kwa sasa ni mjamzito na karibu kujifungua.
Kwenye picha hizi Wema anaonekana akiwa amelishuka tumbo la Aunty kitendo ambacho kinaashilia kuwa mwanadada huyo alikuwa akitoa baraka zake kwa kiumbe kilichomo ndani mbali na ujumba ambao Wema aliutupia kuonyesha kuwa yeye na aunty ni marafiki wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-MG82WOhmsrQ/XnC-YQFiEAI/AAAAAAALkGs/sVhFJRvKCZsb9E8GS0DBjmJXxEZX2grjwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200317-WA0027.jpg)